Summary.
Delegation kwa Tanzania inawezekana tu endapo rais akiwa amekufa.
Ukiitizama hii screenshot hapo kuna vitu viwili muhimu tu katika hayo maelezo ambapo kwa Tanzania havifanyiki [ japo vimendikwa katiba katiba ambayo inaitwa kijitabu] maana yake haifuatwi bali rais ndio msemaji na mtendaji wa kila kitu hadi afariki.
Hivyo tukubali kuwa kuanzia March 6 hadi 19 nchi haikuwa na rais kikatiba ila kwakuwa hakuna aliyejali mambo yalijiendea kwa njia wanazojua wao.
View attachment 3072803
View attachment 3072803