Na kwa kutokuwekwa wazi ndio lile ombwe alilosema liliwapata ex- CDF, IGP, DGTISS baada ya kuwa Magufuli amefariki hawakujua waanzie wapi kila mmoja ana jibu lake.Katiba iko wazi ambacho hakiwekwi wazi ni hiyo taarifa kuwa majukumu ya Rais yatakuwa chini ya nani.
Je kama katiba ingekuwa inafuatwa Samia asingeenda Tanga na updates angezipata mapema kabla ya Majaliwa aliyekuwa anapewa updates kabla ya Samia.
Hivyo kama si busara za Mabeyo Tanzania ingekuwa ni military state kwa sasa.