Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Hii siyo ya Tanzania ?
Ndio maana nikasema kwa Tanzania hata rais akiwa nje ya nchi hakuna anayeachiwa nchi japo ilitakiwa iwe hivyo kikatiba ila haifanyiki !

Ndio maana nikaweka hiyo picha kwa hao wenzetu unaona kabisa ipo kimaandishi majukumu ya rais yatatekelezwa na makamu wake ambaye.
 
maria sarungi asipokuwepo tundu lisu anafwatia chain of command baada ya hapo it gets complicated …
 
Nilikuwa nasoma Katiba ya 2000, sikuangalia vizuri kumbe ndani yake kuna vifungu vya 1992 & 94 vilivyofanyiwa marekebisho.
Ni kweli mbaya zaidi baadhi ya Taasisi za umma zimeweka kwenye tovuti zao Katiba toleo la 1995 badala ya latest edition ya 2010.
Mfano wa Taasisi zilizoweka katiba toleo la zamani.
1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Baadhi ya Tovuti hazina kabisa katiba kwenye machapisho yake.
 
Hizo taasisi ndio zimetufikisha hapa tulipo. Pole sana
 
Ndio maana nikasema kwa Tanzania hata rais akiwa nje ya nchi hakuna anayeachiwa nchi japo ilitakiwa iwe hivyo kikatiba ila haifanyiki !

Ndio maana nikaweka hiyo picha kwa hao wenzetu unaona kabisa ipo kimaandishi majukumu ya rais yatatekelezwa na makamu wake ambaye.
Katiba iko wazi ambacho hakiwekwi wazi ni hiyo taarifa kuwa majukumu ya Rais yatakuwa chini ya nani.
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Ni spika wa bunge mkuu
 
Back
Top Bottom