Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Bado unaamini katiba inafuatwa mkuu. Anyways Rais wa Zanzibar ndio kashika uskani
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
SPIKA
 
Nakaimu mimi.

Miss JF 23/24.
 
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?

2. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
Soma katiba Iko available online
 
Back
Top Bottom