La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 215
- 406
Ooops.!! Naomba kesi yako moja nikusimamieWewe huwezi kuwa wakili, labda amicus curiae😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooops.!! Naomba kesi yako moja nikusimamieWewe huwezi kuwa wakili, labda amicus curiae😂
Mambo yanakua complicated zaidMkuu apo ni ignorance sasa. Japo pia tunaweza sema contingency approach inawez ikawa ilitumika pia. Japo mm najiuliza pia kuhusu la swala chain of command.
Ni nani alitoa majukumu kwa vice president aende ziara wakati mwenye dhamana hwyupo?? Kafa
Tz hatupo salama mpaka sasa kama abdul anaweza kumpa mtu cheo na akawa IGP na kutoa order ya kwenda kukamata watu sehemu maana ake nini??Mambo yanakua complicated zaid
1979/1980Mwaka gani huo.
Mkuuu muite pascal mayala atakuwa anajua vizuri au lucas mwashambwaJob alijiuzulu kwa kumuandikia barua Katibu Mkuu CCM?
Kwaio wewe ndio mwenye akili sasaWatu wengi humu vilaza. Mfuatano ni huu
1. RAIS
2. MAKAMU
3. SPIKA
4. JAJI MKUU
NB
Waziri mkuu hayupo kwenye orodha kwa mujibu wa katiba
Tofauti nini kati ya Rais wa Zanzibar na Rais wa Serikali ya mapinduz ya zanzibarYule ni Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar..zamani aliitwa mwenyekiti wa baraza la mapinduzi...hakunaga Rais wa Zanzibar
Mkuu Foxhound , kuna mambo mengi tunafanya shaghalabaghala.Mkuu Pascal Mayalla tuweke sawa kwenye hili usipite kimya kimya. Nahisi nimekosea somewhere lakini kwa faida ya wengi naomba uweke maoni yako au Inavyotakiwa kuwa kwa mujibu wa Katiba
Tofauti huoni hapo sio Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wenyewe wanaita Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hio ya ondoaTofauti nini kati ya Rais wa Zanzibar na Rais wa Serikali ya mapinduz ya zanzibar
Pascal Mayalla Ndugai aliandika barua ya kujiuzulu kwenda kwa Katibu wa CCM?Mkuuu muite pascal mayala atakuwa anajua vizuri au lucas mwashambwa
Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu.
La roche
Kama hivyo ndivyo kwann Bashir hashtakiwi?Mkuu Foxhound , kuna mambo mengi tunafanya shaghalabaghala.
Kanuni ya kukaimu inahusu kitu kinachoitwa hierarchy. Kufuatia Tanzania kuwa ni nchi ya Muungano, tuna hierarchy mbili.
1. Hierarchy kwa mujibu wa Katiba
2. Hierarchy ya protocol
Kwenye hierarchy ya Katiba ya JMT
No. 1 ni Rais wa JMT
No. 2 ni VP
No. 3 ni Spika
No. 4 ni CJ
No. 5 ni PM
Kwenye set up ya Muungano, rais wa Zanzibar is nobody na katiba yetu haiwatambui wale makamo wawili wa Zanzibar.
Kwenye hierarchy ya protocol
No. 1 ni Rais wa JMT
No. 2 ni VP
No. 3 ni Rais wa Zanzibar
No. 4 ni PM
No. 5 ni VP-I Zanzibar
No. 6 ni VP -II
No. 7 ni Spika
No. 8 ni CJ
No. 9 ni PM
No. 10 ni CDF
P
Ashitakiwe kwa kosa gani?!Kama hivyo ndivyo kwann Bashir hashtakiwi?
Kwa kuchota Mabilioni na Kuweka ngumu Makamu kushika hatamu mara tu baada ya Shujaa kung'ata shukaAshitakiwe kwa kosa gani?
P
Ahsante, lakini kiukweli Katiba yetu ilipitia mabadili kadhaa wa kadhaa1979/1980