Rais na Makamu wasipokuwepo nchini Nani Anakaimu?

Waziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3

Uliza swali lingine
Wakuu wa Majeshi/Vyombo vya Usalama hawapo kwenye huu mlolongo! Soma post No. 17
 
Waziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1

Uliza swali lingine
Lete kifungu tusome
 
Mkuu wa majeshi muondoe hapo,weka rais wa zanzibar,mkuu wa najeshi akikalia kike kiti hatoki
 
Hahaha Nchi inaongizwa kijeshi kasome Katiba tena upya ibara zote mwanzo mpaka Mwisho unafikiri anaitwa Amri Jeshi mkuu na anapewa nyota 5 kwanini? Jiulize mara 7
Anaitwa Amiri Jeshi mkuu kwasababu yeye ndie mwenye uwezo wa mambo yafuatayo:
1.Kutangaza endapo nchi itakuwa vitani
2.Kutangaza hali ya hatari
3. Any state of emergency
 
Waziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1

Uliza swali lingine
Hapo kwenye "nyota" elezea vizuri. Kuna vijana watajua hata "afande muombeshaji maji" anaweza kuwa na hiyo nafasi.Haya ni maandishi na kuna wakumbushwao na wajifunzao.
 
Back
Top Bottom