KassimNaomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua njenga nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
Waziri mkuu ni the third in command hapa nchini.... ndo maana tunamwita nr tatu.1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Amesema raja kifungu cha katiba.Kassim
Ngoja mpira uishe kwanzaAmesema raja kifungu cha katiba.
si yupo cuba au karudiKassim
Amefuata D zake au kikazi?si yupo cuba au karudi
Waziri mkuu1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Na kwanini hamsomi katiba? 😂Hahahahaha kweli katiba hatuijui, baadhi tumeshindwa kujibu kwa kutumia katiba
Waziri MkuuJibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Hahahahaha, mie sina jibu zaidi ya uzembe wanguNa kwanini hamsomi katiba? 😂