johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maoni yako hayakubaliki, nchi hii tumechezewa sana linapokuja suala la kuhamia Dodoma.Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDMNi maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Wewe kichwa chako ni kibovu sana sijui umekumbwa na pepo gani wa baharini aliye'brainwash' ubongo kuanza kumeza ulichokuwa unakitambika mwanzoni.....majaabu ya wasaliti waliokaribu na kiti cha mfalme/malkiaNi maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
ilikuwa ni kupunguza umbali wa kwenda Chattle. Maana ndege na pace maker vilikuwa havipatani.Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Naunga mkono hoja.Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Mbona na wewe umeng'olewa Dom?Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Siungi mkono hata siku moja , limeshakua limekua huwezi kua unafanya Jambo moja kwenda mbele na kuludi nyuma ,tumekubaliana miradi yote lazima kuisha pia Dodoma ni moja ya project lazima patengamae , no wayNi maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Kamwulize ambaye ameanza kusihi kwenye hilo jumba jeupe magogoni amekutana na kitu gani halafu urejee kutetea mawazo mfu. Makao makuu ya nchi ni sharti yabaki DODOMA. Mtwara na Kigoma ni lazima zipewe hadhi ya JIJI kwa kuonesha maendeleo ya akili, watu na vituHuyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Inahitaji kufikiri nje ya box kuupokea ushauri huu mzuri.Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Hata kama havina tija?Siungi mkono hata siku moja , limeshakua limekua huwezi kua unafanya Jambo moja kwenda mbele na kuludi nyuma ,tumekubaliana miradi yote lazima kuisha pia Dodoma ni moja ya project lazima patengamae , no way
Ushauri mzuri mno.....Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Angesema wakati wa Mwendazake ningemuona wa maana lakini yeye aliunga mkono kila alichokifanya mwendazakeWewe kichwa chako ni kibovu sana sijui umekumbwa na pepo gani wa baharini aliye'brainwash' ubongo kuanza kumeza ulichokuwa unakitambika mwanzoni.....majaabu ya wasaliti waliokaribu na kiti cha mfalme/malkia
Waliomuabudu nani? Nyerere au Nani?Mkuu unatoa ushauri au?
Walio mwabudu watakwambia ushauri huu sio bora
Akili za kuchambia hizi.ilikuwa ni kupunguza umbali wa kwenda Chattle. Maana ndege na pace maker vilikuwa havipatani.
Kichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Mbona nyumba zenu huwa mnahamia punde tu baada ya kupiga paa na kuweka milango ya grill alafu plasta, sakafu pamoja na gypsum huwa mnaweka baadae.Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.