Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majeshi nayo yako Dodoma itakuwaje?Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
MkuuAngesema wakati wa Mwendazake ningemuona wa maana lakini yeye aliunga mkono kila alichokifanya mwendazake
Naunga mkono hoja:Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Watu Kama wewe wanasikitisha SanaNi maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Kichaa ni wewe
Kuhamia Dodoma hakukuwa na tija kipindi hiki. Azma na ulazima wa kuhamia Dodoma ilikuwa kurahisisha accesibility kutoka mikoa na wilaya zingine kuweza kufika makao makuu ya nchi, hii ilikuwa ni lazima sana kipindi cha nyuma wakati mpango huo unaasisisiwa. Kutokana na ukuaji wa teknolojia makao makuu yanaweza kufikiwa sasa kutoka mahali popote kwa muda mfupi sana. kwa sasa kuna mifumo ya emails na vitu kama skype au ulipaji wa control number au mifumo ya kiwizara ambapo mtu akiwa popote anaweza ku access na kupata majibu ndani ya sekunde ulazima wa kuhamia Dodoma ulishaisha. Hakukuwa na sababu ya kutumia bajeti kubwa sana kulazimisha kuhamia Dodoma kwa kipindi ambacho nchi inahitaji sana hiyo bajeti katika sekta zingine.
No nazungumzia project zenye tija mkuu, mfano makao makuu kuwa Dodoma wenda kuliwaishwa but bado ni project yenye tija nje ya kwamba panafikika kirahisi TOKA kila mkoa ila bado zipo factor nyingine zinazofanya Dodoma kua makao makuu, so wakati inapitishwa azimio ilo miaka iyo sio kwamba wazaee walikurupuka ,tuwaulize wazee why dodoma na haikua mikoa mingine nje ya kigezo kwamba ni katikati ya nchi, maana hata Singida pangefaa,Hata kama havina tija?
Unajua sababu za enzi hizo kuhamia DDM? Zitaje... Do these reasons hold water today. Au unabisha kwa vle labda kwenu ni DDM. Nani kaongelea Mtwara na Kigoma? Unachanganya mamboKamwulize ambaye ameanza kusihi kwenye hilo jumba jeupe magogoni amekutana na kitu gani halafu urejee kutetea mawazo mfu. Makao makuu ya nchi ni sharti yabaki DODOMA. Mtwara na Kigoma ni lazima zipewe hadhi ya JIJI kwa kuonesha maendeleo ya akili, watu na vitu
Wabaguzi pekee ndio wanaotetea Ikulu kubaki Dar Es Salaam kwa kuwa ni wavivu na hawako kwa ajili ya kushiriki changamoto za wananchi wa chini.
Nilitegemea wapinzani kama ninyi mngetilia maanani suala la serikali kuwa DODOMA kiukamilifu badala ya kukimbilia raha za Dar huku wananchi maskini wakiendelea kuwa duni bila tumaini la kupata nafuu.
Kichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Sababu kuu ya muda wote ya kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma imekuwa ikitajwa ni uwepesi wa kufikika kutoka pembezoni hasaa ikizingatiwa Dodoma ni katikati ya nchi. Sina kumbukumbu ya sababu nyingine ya kuhamisha makao makuu kutoka Dar to Dom, labda unijuze mkuuNo nazungumzia project zenye tija mkuu, mfano makao makuu kuwa Dodoma wenda kuliwaishwa but bado ni project yenye tija nje ya kwamba panafikika kirahisi TOKA kila mkoa ila bado zipo factor nyingine zinazofanya Dodoma kua makao makuu, so wakati inapitishwa azimio ilo miaka iyo sio kwamba wazaee walikurupuka ,tuwaulize wazee why dodoma na haikua mikoa mingine nje ya kigezo kwamba ni katikati ya nchi, maana hata Singida pangefaa,
Mda Sasa SSH kuhakikisha masalia yote yaliyobaki Dar ya serikali kuamishiwa Dodoma , lazima makao makuu yakamilike
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
MkuuKichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Mkuu,Angesema wakati wa Mwendazake ningemuona wa maana lakini yeye aliunga mkono kila alichokifanya mwendazake
Hakuna sababu ya kuhamia Dodoma, hoja ya katikati mwa nchi ni hafifu sana katika Hii dunia ya kidijitali! Dodoma aachiwe sabuufa kule kwao, wamezoea!Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Kwahiyo ww ulitaka kila kitu kiwe Dar....Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Ila we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa nakufananishaga na zittoNi maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Huyu johnthebaptist inabidi ajulikane kwanza ni nani ili wadau wamtambue ana akili timamu au hapana.Siungi mkono hata siku moja , limeshakua limekua huwezi kua unafanya Jambo moja kwenda mbele na kuludi nyuma ,tumekubaliana miradi yote lazima kuisha pia Dodoma ni moja ya project lazima patengamae , no way
nchi zipi? nitajie..... nami nikutajie nchi za first world ambazo biashara na makao makuu vipo sehemu moja.Kwahiyo ww ulitaka kila kitu kiwe Dar....
mji wa kibiashara Dar Mji wa kiserekali Dar...!!?
kajifunze nchi za watu walivyofanya...