Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

Binafsi nina sababu 2.
1. Divesification, kwamba miji mingine ijengeke ili vijana wawe na sehemu kadhaa ya kwenda kujitafutia.
2. Congestion reduction. Wazia nalo bunge lingekuwa Dar. Halafu unakuwa kipindi cha bunge la bajeti kama hili.

Labda sababu hizi zinaingia akilini, lakini sio eti adui hawezi kufika Dodoma kirahisi.
 
Madiwani wa Dar es salaam ni zaidi ya wabunge lakini mbona kuko poa tu hakuna mbwembwe wala hekaheka.
 
Imenenwa vyema!
 
Labda sababu hizi zinaingia akilini, lakini sio eti adui hawezi kufika Dodoma kirahisi.

Teh teh teh,
Saa hii adui anakucheki kwa drone tu, akipata coordinate za mahali, mchezo umeisha.
 
Sasa wabunge 300 wana wingi gani?

Ni wengi sana, wazia kila mmoja aje na VX lake, halafu uwamwage pale Karimjee Hall. Hapo hujajumlisha wasaidizi wa mawaziri na ma VX yao, makatibu wakuu, nk. katika kipindi hiki cha bajeti.
 
Uharibifu tu wa hela za walipa kodi na sijui nani alimdanganya Bwana yule kukurupuka kuhamia Dodoma
 
Dodoma still remains a dream capital, it needs more time to attain that status. Tumeongozwa na sifa za kisiasa zaidi badala ya kuangalia Uchumi na ukuaji wake. What is invested there can be directed to other things which have can push our economy ahead faster.
 
Yaani basi tu, warudi dar es salaam kwani dodoma si Tanzania. Usiwe kama aliyewahi kusema watu wa pwani hawataki ikulu iamie dodoma. Ni kama vile kuna watu wana hati miliki na kama si hati fungati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…