Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Binafsi nina sababu 2.
1. Divesification, kwamba miji mingine ijengeke ili vijana wawe na sehemu kadhaa ya kwenda kujitafutia.
2. Congestion reduction. Wazia nalo bunge lingekuwa Dar. Halafu unakuwa kipindi cha bunge la bajeti kama hili.
Labda sababu hizi zinaingia akilini, lakini sio eti adui hawezi kufika Dodoma kirahisi.