Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
317
Reaction score
400
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Huyu maza ana stress kubwa kuhusu uchaguzi hasikii la muadhini wala mnadi swala
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA SHETANI..
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA MTU ANAYEKUSHTAKI NJE..
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA MTU ANAYEFURAHIA ANGUKO LAKO..

NYIE ENDELEENI NA MANOO NOO YENU!
 
IMG_20250610_204958.jpg
 
Haina haja ya kumtaka Bibi Chura Kiziwi kuwasamehe CDM..hizi ni HATUA kuelekea Ukombozi wa kweli wa Demokrasia
N.B
Hadi sasa CCM wameshajifunga GOLI NNE(4)
-Kumuweka Lissu kizuizini
-Kuzuia RUZUKU
-Kutuma wahuni kuvuruga Mikutano ya No reforms...
-Kusitishwa kwa shughuli za Chama
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
 
Attachments

  • 6090504-a8d8f7bcd5a75aab9b6f72606c53c42.mp4
    13.1 MB
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Hakuna busara mbele ya uhalifu. Haiwezekani kikundi flani ya nchi haitaki kufuata sheria halafu waachwe, chadema wanajua wanachopata, wanajua hawaatashinda kwa njia ya kawaida, wanapandikiza uasi, Lissu ni mhaini wacha mahakama iamue. Hao chadema wanaelekea kukosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Heche busara yake iko wapi, au humwelewi akiongea.
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Nakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yake
 
‘Zimwi likujualo, alikuli likakwisha’

CCM kwa foul kipindi cha uchaguzi wamezoeleka.

Pamoja na foul zao miaka yote walau walikuwa na tabia ya aibu. Kwenye wizi wao waliiuwa wanabakisha dignity ya kupigania ‘political legitimacy’ ya kuonekana wanakubalika na wengi.

Uchaguzi huu wamefikia ni low hawajali tena kutafuta ‘political legitimacy’ ndani ya jamii; ni kutumia madaraka tu kushinda huo uchaguzi.

Ni kama vile kuna watu wamemzunguka raisi hawajui siasa, ila wanajua nguvu zake za kikatiba ndio wanamwendesha na kutumia nguvu zake za madaraka kuhakikisha anarudi Ikulu.

At this point ni UVCCM na mafisadi ndio watakuwa mashabiki wa Samia, uchaguzi wa mwaka huu wanaweza hata wasialike ‘international observers’.

Hawajali tena kwa sasa mishipa ya noma imekata hawaitaji mbinu za ulaghai wala nini, Samia ashinde kitemi tu (raisi amekuwa kama mateka wa wahuni).
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Umesema atumie busara na hekima!?
Acha utani wewe!
 
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).

Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Raisi Samia hafanyi kazi kwa kutafuta sifa wala tuzo za Nobel au za Mo Ibrahim

Anatimiza wajibu wake tu kutumikia watanzania kwa mujibu wa katiba
 
Nakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yake
We tulia na u mbeya wako ka mwanamke asili yenu ndo hiyo mchawi wewe
 
Back
Top Bottom