Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We lofa kakomboe hiyo akili yako kwanza hii nchi imeshakombolewa na mwl. J.K.Nyerere na A.A.Karume.Haina haja ya kumtaka Bibi Chura Kiziwi kuwasamehe CDM..hizi ni HATUA kuelekea Ukombozi wa kweli wa Demokrasia
N.B
Hadi sasa CCM wameshajifunga GOLI NNE(4)
-Kumuweka Lissu kizuizini
-Kuzuia RUZUKU
-Kutuma wahuni kuvuruga Mikutano ya No reforms...
-Kusitishwa kwa shughuli za Chama