‘Zimwi likujualo, alikuli likakwisha’
CCM kwa foul kipindi cha uchaguzi wamezoeleka.
Pamoja na foul zao miaka yote walau walikuwa na tabia ya aibu. Kwenye wizi wao waliiuwa wanabakisha dignity ya kupigania ‘political legitimacy’ ya kuonekana wanakubalika na wengi.
Uchaguzi huu wamefikia ni low hawajali tena kutafuta ‘political legitimacy’ ndani ya jamii; ni kutumia madaraka tu kushinda huo uchaguzi.
Ni kama vile kuna watu wamemzunguka raisi hawajui siasa, ila wanajua nguvu zake za kikatiba ndio wanamwendesha na kutumia nguvu zake za madaraka kuhakikisha anarudi Ikulu.
At this point ni UVCCM na mafisadi ndio watakuwa mashabiki wa Samia, uchaguzi wa mwaka huu wanaweza hata wasialike ‘international observers’.
Hawajali tena kwa sasa mishipa ya noma imekata hawaitaji mbinu za ulaghai wala nini, Samia ashinde kitemi tu (raisi amekuwa kama mateka wa wahuni).