Let Tundu Lissu and Others be Released.Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...
Huyu maza ana stress kubwa kuhusu uchaguzi hasikii la muadhini wala mnadi swalaMhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA SHETANI..Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Hii ni kanuni ya ulimwengu 😅Hauwezi kutumia kitu usokuwa nacho.
Nakukumbusha.
Hahaha! Nakazia hapa..
Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Hakuna busara mbele ya uhalifu. Haiwezekani kikundi flani ya nchi haitaki kufuata sheria halafu waachwe, chadema wanajua wanachopata, wanajua hawaatashinda kwa njia ya kawaida, wanapandikiza uasi, Lissu ni mhaini wacha mahakama iamue. Hao chadema wanaelekea kukosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Heche busara yake iko wapi, au humwelewi akiongea.Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Nakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yakeMhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Umesema atumie busara na hekima!?Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Raisi Samia hafanyi kazi kwa kutafuta sifa wala tuzo za Nobel au za Mo IbrahimMhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
We tulia na u mbeya wako ka mwanamke asili yenu ndo hiyo mchawi weweNakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yake
Kahaba mama yako aliyejjiuza kwa baba yakoMwambieni huyo kahaba wenu aache kunyanyasa wapinzani !