Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA SHETANI..
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA MTU ANAYEKUSHTAKI NJE..
HUWEZI KUMFANYIA BUSARA MTU ANAYEFURAHIA ANGUKO LAKO..
NYIE ENDELEENI NA MANOO NOO YEa
Mnataka busara au sheria?Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Nakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yake
Mama Abdul anaongozwa na kina Kikwete remotely na ndiyo wanaomwambia asikubali hata siku moja kukubali kurekebisha Katiba ya wananchi kwani itawaponza wao kwa wizi walioufanya. Yaani in short, CCM inaogopa upinzani wa ukweli na ndiyo maana wanataka kuiua Chadema wadili na vibaraka wao Chauma kudanganya Watanzania kuwa kuna upinzani kumbe ni danganya toto tu.Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Dark period for Democracy in TanzaniaTatizo heshima yake ndiyo inazidi kushuka. Inawezekana kabisa akafanikiwa malengo yake na akaifuta kabisa Chadema. Ila hasara itakuwa ni kwa nchi na atakuwa ameturudisha nyuma kwa miaka 30. Kinachofanyika sasa ni faida na maslahi binafsi.
Sasa mkuu, ukiidai haki kwa nguvu wanakuteka au wanakuua kabisa...itakuwaje hapo?!.Hakuna kubembeleza, haki haiombwi inadaiwa.
Hata wewe Mkuu kwa sasa umebadilika ? 😅😄‘Zimwi likujualo, alikuli likakwisha’
CCM kwa foul kipindi cha uchaguzi wamezoeleka.
Pamoja na foul zao miaka yote walau walikuwa na tabia ya aibu. Kwenye wizi wao waliiuwa wanabakisha dignity ya kupigania ‘political legitimacy’ ya kuonekana wanakubalika na wengi.
Uchaguzi huu wamefikia ni low hawajali tena kutafuta ‘political legitimacy’ ndani ya jamii; ni kutumia madaraka tu kushinda huo uchaguzi.
Ni kama vile kuna watu wamemzunguka raisi hawajui siasa, ila wanajua nguvu zake za kikatiba ndio wanamwendesha na kutumia nguvu zake za madaraka kuhakikisha anarudi Ikulu.
At this point ni UVCCM na mafisadi ndio watakuwa mashabiki wa Samia, uchaguzi wa mwaka huu wanaweza hata wasialike ‘international observers’.
Hawajali tena kwa sasa mishipa ya noma imekata hawaitaji mbinu za ulaghai wala nini, Samia ashinde kitemi tu (raisi amekuwa kama mateka wa wahuni).
Hekima alishafanya afanye hekima gani tena hayo hayo Machadema ayakabie huku huku kwa juuLet Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
1. Mkuu jukwaa la siasa linawafia vyama tu.Hata wewe Mkuu kwa sasa umebadilika ? 😅😄
Nimefurahi ulipo mention Nguvu za Madaraka za Kikatiba ! 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤷♂️🤷
😳🙄!!
Na matusi mengi sana.Nakumbuka kauli zenu za dharau "huyu mama..... Mama Abdul..... huyu mama.... " Lengo lenu aonekane kiumbe dhaifu, sasa mnaona picha tofauti, fanyeni siasa za hoja, kebehi na dharau hazifai, huyo ni Rais, mpe heshima yake
Sheria ziliwekwa ili kuthibiti watu wajinga na wasiojitambua.Let Tundu Lissu and Others be Released.
Na Mungu atakubariki
Mwenzio anataka Total control & Power.. Tuzo siyo habari zakeLet Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Kufa utakufa tu.Sasa mkuu, ukiidai haki kwa nguvu wanakuteka au wanakuua kabisa...itakuwaje hapo?!.
Kuomba busara kwa samia ni sawa na kusubiri fenesi kwenye mpapaiMhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Una hakika anayo busara na hekima ?Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu
Acheni kutafuta huruma tunasubiri mkakinukishe. Na usimtishie amiri jeshi mkuu wa nchiMhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin).
Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo Ibrahim zinakuhusu