Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

We lofa kakomboe hiyo akili yako kwanza hii nchi imeshakombolewa na mwl. J.K.Nyerere na A.A.Karume.
 
Atatumiaje vitu ambavyo hana?
 
Chadema ni ya watanzania kama ilivyo Chaumma,CUF CCM,ACT nk waitendee Chadema haki ili kuleta UMOJA WA KITAIFA hali mbaya san kwa sasa.
 
Huyo anataifa jingine la Zanzibar
 
Kuna vitu tutamlaum bure yaani mtu alienda kumuangalia wakati anaumwa leo huyohuyo amfunge walau ameruhusu hata mikutano kuna mengine pengine washauri wanaweza kuchangia
 
Kuna vitu tutamlaum bure yaani mtu alienda kumuangalia wakati anaumwa leo huyohuyo amfunge walau ameruhusu hata mikutano kuna mengine pengine washauri wanaweza kuchangia
Wapambe nuksi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…