Rais Ndaitwah: Uongozi wa Samia ni hamasa kwangu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema anathamini kwa kiwango kikubwa uongozi wa Rais wa Samia Suluhu Hassan, akisema umekuwa chanzo cha hamasa na msukumo katika safari yake ya uongozi.

Ameeleza hayo leo Juni 20,2026 wakati akizungumza na wanahabari Ikulu Dar es Salaam, akiambatana na mwenyeji wake Dkt. Samia.

Ndaitwah amemshukuru Rais Samia kwa mapokezi mazuri pamoja na fursa ya kufanya mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya nchi hizo mbili.

Rais Ndaitwah amesema mawasiliano na ushirikiano aliowahi kuwa nao na Rais Samia yameacha alama kubwa kwake na yanaendelea kumwelekeza katika utekelezaji wa majukumu yake ya urais.

“Ninaweza kusema kuwa alinibatiza kwa moto nilipochukua madaraka kama Rais wa Tano wa Jamhuri ya Namibia, na maneno aliyoyasema leo yanaendelea kunipa nguvu na kunihamasisha,” amesema Ndaitwah.

Stupid whore from Namibia
 
kama nikweli kacholewa cha kusema publicly na kwandani samia atakua kapigwa za usosana na bibie huyo

Free tundulisu
Katiba mpya
 
Back
Top Bottom