T-King
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 172
- 100
Tena wamechelewa sana. Na walikuwa wanamfunika kiogaoga, pale wangerusha tu kajimoto kengine walikuwa wanamuacha ajiokoe mwenyeweMbn km wamechelewa sekunde kadhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wamechelewa sana. Na walikuwa wanamfunika kiogaoga, pale wangerusha tu kajimoto kengine walikuwa wanamuacha ajiokoe mwenyeweMbn km wamechelewa sekunde kadhaa
Mmeaibika...na njama zenu chafu. Ebu jikumbusheni...kisa cha " bay of pig"! Unaweza kutueleza kuwa Wacuba alijivamia. Aibuuu!Huyu inawezekana katengeneza movie tu.
Unaposema "mmebakia" unamkusidia mimi na nani?Mmeaibika...na njama zenu chafu. Ebu jikumbusheni...kisa cha " bay of pig"! Unaweza kutueleza kuwa Wacuba alijivamia. Aibuuu!
====
Viva Bolivarian National Guard !! Viva Maduro Viva Venezuela.
Hiyo ni live sio movie za London hass fallen.
Na maadui wote wa Taifa la Venezuela.Unaposema "mmeaibikia" unamkusidia mimi na nani?
Maadui wa taifa la Venezuela ni hao wasoshalisti uchwara kina Chavez na Maduro waliolifilisi taifa lililo na mafuta mengi sana, mpaka sasa wananchi wake wanakondeana kwa kukosa chakula.Na maadui wote wa Taifa la Venezuela.
Tena wawahi haraka sana halafu cover yao ya kioga oga mno kiasi kuna sehemu waliacha upenyoHahaha,mkuu hata hivyo wamechelewa,waliposikia mlipuko ambao hawana taarifa nao walitakiwa wawahi.
Kabisa mkuu ,nashangaa mdau juu kule anafananisha na movieWanajeshi waliyokua kwenye parade walikua wanakimbilia wapi?
Hiyo kama kapelekwa message... sababu kwa dakika chache zile walinzi walivyokua wanajitafakari nini kimetokea kabla ya kum-cover up the president zingeweza kuleta maafa makubwa sana...
Cc: mahondaw
Yaani cjui walikua wanahisi mpasuko wa tairi ya gari !Tena wamechelewa sana. Na walikuwa wanamfunika kiogaoga, pale wangerusha tu kajimoto kengine walikuwa wanamuacha ajiokoe mwenyewe
Duuh...hivi kuna rais ambaye anapendwa na almost raia wake wote??? Duuh...maana nikipiga picha karibia mataifa yote kuna mtifuano ya kutaka madaraka....hasa hiyo nafasi!!! Dah...aisee yakini hiyo ni nafasi nzuri.Urais is terrible job
Yaani ndiyo upuuzi wa wazungu! Kuanzisha WB ili kuzinyonya nchi nyingine!!! Hasa African countries na nyinginezo ambazo hazina nguvu kubwa kama yao. Ukitaka ujitegemee...usipokee misaada Yao...wanakufanyia upuuzi. Wanataka uendelee kuwapigia magoti. Mbaya sana.Basi hapo kwa WB ndo wamemshika penyewe na sanctions zao.
Ninyi??? Kama una-refer tz sahau hiyo.Picha la Venezuela lilianza Kama jiwe alivyoanza TZ, na siye tutakuwa Kama Venezuela soon.
Drone nchi nyingi hairuhusiwi kurushwa hovyo ,au Venezuela cjui hawajui madhara ya drone,Venezuela watu/waasi wanajua kupambana kisasa. Kuna siku walivamia hata kwa helicopter now by drone. Kuna siku watampata tu.
Kabisa MkuuHapo mimi nikiwa kama rais ni kuwasafisha walinzi wote waliokuwepo eneo la tukio kuanzia wajeda mpaka mgambo kwa fagio la chuma..