adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Halafu badilisha hiyo avatar yako inakera sana.Noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu badilisha hiyo avatar yako inakera sana.Noma sana
Uwakute kwenye vilinge vya simba na yanga wanaweza kuuua🤣🤣🤣Ndio vijana wa kesho hao na maswali yao, mizaha kila mahala
Hahaha 🤣 Hii watoto wakali wanaikubali mno hivyo sina budi kuendelea nayo.Halafu badilisha hiyo avatar yako inakera sana.
Kweli una haki ya kuulizaSwali ni Swali mkuu, wengine hatujafungua video sasa tunataka kujua nini kilimuua nikaona anasema walimchoma moto nikauliza ndio akafa?
Aah okHiyo alikuwa waziri mkuu wa kwanza
Hii kweli inahuzunisha ingawa nahisi Mzee wangu alishawahi kunisimulia hiiKweli una haki ya kuuliza
Indira Gandhi alikuwa Waziri mkuu wa India
Aliuwawa na bodyguard wake nyumbani
Mtoto wake Sanjay ambae ndio alikuwa anategemewa kuwa Waziri mkuu baada ya mama yake nae akafa kwenye ajali ya ndege mwaka 1980
Baada ya hapo mtoto wake mwingine anaeitwa Rajiv Gandhi akaja kuwa Waziri mkuu nae akauwawa 1991
Familia ikawa imeisha kwenye utawala hapo
Inahuzunisha historia yao
Itakuwa tuko umri karibu sawa labdaHii kweli inahuzunisha ingawa nahisi Mzee wangu alishawahi kunisimulia hii
Baada ya Indira Gandhi kuuwawa, jioni ya siku hiyo hiyo, aliyekuwa Meya wa jiji la Dar es salaam Kitwana Kondo alitangaza kubadirisha jina la mtaa wa Market na kuitwa Indira Gandhi.Kuna mtaa wa Indira Gandhi maeneo ya posta right?
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu wa India, siku ya tarehe 31 Oktoba, 1984.
Siku ya mazishi ya kitaifa, viongozi wengi sana kutoka mataifa mbalimbali walihudhuria, akiwemo Rais wa Tanzania kwa wakati huo, Julius Nyerere na mkewe Maria Nyerere.
View attachment 3265308
Video ni ndefu. Nyerere anaonekana kwenye dakika ya 55:23/24.
Mtangazaji wa ITN alimgundua na kumtaja kwa jina kabisa!
View: https://youtu.be/v7SqLi1VHKA?si=5tBYB8dHEiTyKNZi
Kukosekana kwa vituo vya televisheni kulitunyima sana uhondo wa kuona vile ambavyo viongozi wetu walivyokuwa wanatuwakilisha kimataifa na vile ambavyo Tanzania ilijijengea heshima chini ya Rais Nyerere!
Miaka 10 baadaye, 1994, ndo Tanzania bara ikaja kupata vituo vyake vya televisheni, DTV, CTN, na ITV!
Kuna huyu Nyerere wanamuita Tive akee! Ni ndugo na Huyo mnae mzungu mzizia?Aisee.... R. I. P Nyerere......
Aseeh upo sahihi nimekumbuks pia makunganya street..... Unajua history na Jiji la mzizima vzrBaada ya Indira Gandhi kuuwawa, jioni ya siku hiyo hiyo, aliyekuwa Meya wa jiji la Dar es salaam Kitwana Kondo alitangaza kubadirisha jina la mtaa wa Market na kuitwa Indira Gandhi.
Mtaa umeanzia Sofia Kawawa (zamani Lindi st) umeishia kwenye round about ya mitaa ya Makunganya na India.
Hii ni katika kuenzi urafiki wa nchi mbili hizi.
Mchana wa siku hiyo gazeti la Uhuru lilitoa kopy (chapisho lingine baada ya lile rasmi la asubuhi) lenye front page iliyomuhusu Indira Gandhi tu, kuhusu sababu za kifo chake na historia yake fupi.
What’s your point, exactly?Okay!
Hakukuwa na Television tukakosa uhondo, miaka 10 baadae ikaja umesema ITV, CTN, DTV.
Enhee, leo, 100 years later, hundreds of media outlets out there.
AKIJA MHINDI, MCHINA, MWARABU, MZUNGU IKULUⁿ KUSAINI MA DOCUMENT HUWA UNAAMBIWA WHAT THE HELL THEY SIGNED ZAIDI YA MAKUBALIANO YA KUDUMISHA MAHUSIANO ?????
Nyerere is dead and gone with his autocratic media crack down lakini media kutwa kucha zinatulisha manyimbo ya WACHAFU MEDIA, mara KIMEWASHA KIMEKUNWA, KIMELOA KIMEKAUKA, KITOTO LAKINI KIMEUTAKA CHENYEWE.... NA SIMBA NA YANGA HORSE SHIT!
Television zimeleta faida gani ???????
Tanzania inaenda kununua umeme, who the hell knows imekuaje kwenye umeme wa Rufiji, hautoshi ???
What good has the freaking modern media brought ?
Laurent Kabila naye aliuliwa na mmoja wa walinzi wake!Indira Gandhi aliwafanyia ugangwe wa kiserikali masingasinga kwenye msikiti wao mtakatifu kabisa kwa imani yao, huku yeye mwenyewe akiwa na walinzi masingasinga, akiamini kuwa wale walinzi wake ni waaminifu sana, hawatamdhuru.
Wakamuua.
Hili jambo nililifikiria sana wiki chache zilizopita nilivyoona viongozi wetu wanalindwa na walinzi wenye silaha nzito nyingi.
Nikajiuliza, hivi siku mmoja wa hawa walinzi wakikasirishwa na jambo, wakaamua kummiminia risasi kiongozi, itakuwaje?
Hawa viongozi wanajiamini nini?
Hata Indira Gandhi naye alijiamini hivyo hivyo.
Hawana undugu aisee. Yupi huyo unaye mzungumzia huyu aliyepig pisi kali kwa bahati mbaya?? 😂Kuna huyu Nyerere wanamuita Tive akee! Ni ndugo na Huyo mnae mzungu mzizia?
Hiyo siku ilikuwa patashika nguo kuchanika, watu walifikishana kunakotakikana.Hahaha, hizi hadithi Sasa za makumazani.
Alichomwa moto; na tena mwanaye, Rajiv Gandhi ndiye aliyewasha/kuanzisha moto huo!Indira Gandhi hakuchomwa moto?