Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

Wewe mwenyewe uko hoi unajikaza kisabuni huku unateketea!
 
In fact sisi ni watumwa wa viongozi wetu wa kisiasa!
 
Sisi wenyewe kwa wenyewe tuliuzana utumwani, hili tutalizoea kama tulivyozoea wasiojulikana enzi za mwenda kuzimu.
 
Wewe hutaki??? km hutaki nyamaza wacha ufanyiwe wewe kaaa!
 
Hama nchi bwana mdogo lasivyo fanyakazi kwa bidii sana uweze kulipa kodi na kubaki na faida yako.
 
Nakumbuka yule mmachinga wa Tunisia muuza matunda ambaye baada ya kujichoma moto, vurugu zilizofuata zilisambaa nchi zote za kiarabu! Syria mpaka leo mambo hayajapoa.
Hamia huko na wewe ukajichome moto. Kama maisha yamekushinda kunywa sumu. Sisi hatutaki maandamano ya kijinga unafikiri serikali itaendeshwa na kodi za Wamarekani? Huoni aibu Wamarekani kuweka mabango kwenye miradi yao yasemayo. "KWA MSAADA WA WANANCHI WA MAREKANI"
 
Hama nchi bwana mdogo lasivyo fanyakazi kwa bidii sana uweze kulipa kodi na kubaki na faida yako.
Haya ni mawazo ya watu wanaowategemea dada zao! Muulize dada yako anavyopata tabu ya kuhesabu ceiling boards!
 
Wewe huoni uchungu serikali kutumia mabilioni ya fedha kujenga sanamu ya Magufuli wakati hospitali hazina dawa!
 
Huu ni upumbavu hii nchi,yaani nimetoa elf 50 ,wamekata 4,750?
 
Hatuwezi kbs kuingiza nchi yetu pendwa kwenye machafuko na maandamano maana tumeona mengi tangu 2009s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…