Basi hama nchi uende kwenye dawa nyingi.Kwa kukosa dawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hama nchi uende kwenye dawa nyingi.Kwa kukosa dawa!
Kule kenya hadi muuza mchicha shurti awe na leseniHapana. Watanzania ni watu wa species nyingine kabisa. Wakenya huwezi kuwachezea namna hii.
Nenda Mabanda street wanaishi kama nguruwe pori. Danganya nyumbu wenzako wengine tumeishi huko mkuu.Hapana. Watanzania ni watu wa species nyingine kabisa. Wakenya huwezi kuwachezea namna hii.
Sijazungumzia kuhusu hali ya maisha. Hili ndilo tatizo la wahitimu wengi sana wa Tanzania. Wanaweka vitu ambavyo hujavisema halafu wanajifanya kubisha. Nimezungumzia kuhusu mwamko wa wananchi kwenye kupinga maovu.Nenda Mabanda street wanaishi kama nguruwe pori. Danganya nyumbu wenzako wengine tumeishi huko mkuu.
Hao wanaoishi mabanda street unafikiri shida zao ni nini? Wamenyang'anywa ardhi zao kwa kifisadi na wanasiasa wa Kenya lakini wapowapo tu.Sijazungumzia kuhusu hali ya maisha. Hili ndilo tatizo la wahitimu wengi sana wa Tanzania. Wanaweka vitu ambavyo hujavisema halafu wanajifanya kubisha. Nimezungumzia kuhusu mwamko wa wananchi kwenye kupinga maovu.
Huna uwezo huo. Rais wa Mashoga anayeishi Ubelgiji aliwaambia muingie mitaani mkamwacha solemba!Sihami bali nitapigania haki yangu na wazazi wako!
Pole mkuu kumbe Mama yako anapakuliwa samadi kila siku?!!Mama yako anapakuliwa samadi kila siku, je yeye ni nani?
Naona fisadi papa una furahi sana kuuliwa kwa jiwe, ila ipo siku tutainua jiwe kuu jingine very soonSisi wenyewe kwa wenyewe tuliuzana utumwani, hili tutalizoea kama tulivyozoea wasiojulikana enzi za mwenda kuzimu.
Ndio maana mm niliamua kujipa mda kwanza kumkubali huyu mama,hapa mm namlaumu yeye mwenyewe, wala waziri wa fedha au mtu yeyote hahusiki,huyu mama yeye ndio kiranja mkuu ina maana hizi kodi hazioni?kama hazioni basi hafai kua RAIS,sisi wengine tunalipa kodi moja kwa moja bila kukwepa,halafu tunazidi kuongezewa makodi ya ajabu ajabu,yote kwa yote katiba mpya mhimu.Tanzania kabla ya kuchagua wanasiasa wananchi wana nguvu na thamani sana ila baada ya kuchagua wanasiasa wana nguvu maradufu ya kupanga hata hatma za wananchi. Huu ni upuuzi ambao wenye akili wasipoukemea kwa busara itafika wakati wasio na akili watatumia ujamaa wao kuangamiza taifa. It is a matter of time!
Nasikia wewe na mama yako mnapakuliwa. Pole sana mkuu.Si unamuona mama yako anavyotembea kama bata! Fanya kazi asije pasuliwa msamba kwa ajili ya kukulisha!
Siku tukifanikiwa kuitoa ccm madarakani ,naimani baada ya miezi kadhaa lazima tuandamani kwa kujilaumu kuwa tulikuwa wapi miaka yote .haiwezekani gharama za maisha zinapanda huku mzee wa shungi akishinda barabara akifanya ziara za dar to dodoma.kupanda kwa gharama za maisha ni kipimo tosha kuwa ccm imeshindwa kuongoza nchi.Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia kifungo jela kwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Watanzania tumeongezewa kodi lukuki zingine zikipewa majina ya ajabu kama kodi za mshikamano sijui kodi za uzalendo nk, tumebaki tunanung'unika kimoyo moyo! Kodi ya miamala imepanda, bei ya mbolea imepanda, nauli za usafiri na usafirishaji zimepanda, bei ya mafuta imepanda lakini tunashindwa kuihoji serikali yetu tumebaki tunapiga makelele kama wehu!
Wakati huo huo serikali inapanga kujenga sanamu ya mabilioni ya fedha, gharama za kuendesha serikali inazidi kupanda kutokana na ukubwa wa serikali, ufujaji wa fedha za umma na ufisadi. Aidha serikali inazidi kukopa fedha kwa matumizi yale yale ambayo serikali inakusudia kutumia fedha za kodi mpya!
Watanzania tumebaki kukodoa macho kama vile hatuoni kinachoendelea na hakituhusu! Nani huyu aliyeturonga na kuzaliwa na udumavu wa akili? Kuna matumizi mabaya sana ya madaraka viongozi wetu wanafanya lakini tunashindwa kuwawajibisha!
Watanzania tuamke vinginevyo twafwa!