Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

Ndio, hapa hajui yupo karne ya ngapi.

Hiyo ni tafsiri ya vyombo vya habari. Halafu yeye mwenyewe alishawahi kusema alishawahi kuwa na stuttering problem kwenye childhood yake. Nilitaka kuona video anayosema yeye ana tatizo la kusahau. Mana kwenye speech kuna mda mtu anaweza kusahau ILA hilo hali justify kwamba ana huo ugonjwa. Ningefurahi kama ningeona anasema mwenyewe KWA maana alishawahi kukiri na stuttering
 
Yaani mzee wa miaka 80 athibitishe kuwa ana tatizo la kusahau? Unafahamu kwamba kusahau kwa wazee ni kawaida na sio lazima uwe ugonjwa?

Na tafadhali jua kutofautisha kusahau speech na kusahau karne uliyopo.
 
Hapo nimekuelewa kumbe hana ugonjwa wa kusahau ILA ni jambo la kawaida. Hapo SAWA mkuu
 
Hapo nimekuelewa kumbe hana ugonjwa wa kusahau ILA ni jambo la kawaida. Hapo SAWA mkuu
Niliposema "tatizo" niliimanisha kama metaphor na sio literally. Maana yake hakuna cha kushangaza kwa huyo Rais wa miaka 89 kusahau kama members wengine wanavyofanya. Sababu hata Joe Biden anasahau.
 
Niliposema "tatizo" niliimanisha kama metaphor na sio literally. Maana yake hakuna cha kushangaza kwa huyo Rais wa miaka 89 kusahau kama members wengine wanavyofanya. Sababu hata Joe Biden anasahau.
Hapo nimekupata mkuu. Tupo pamoja🙏
 
Hiyo ndiyo shida ya jamii yenye asili ya utawala wa kitemi ambapo mtemi haachii ngazi hadi mauti ndipo mrithi wake anaukwaa utawala kwa mtindo uleule.

Hicho kitu kiko kwenye damu yetu na ni jinamizi ambalo sio rahisi kuondoka. Hatuamini ktk mfumo wa kuacha watu wachague viongozi wao wenyewe na ndio maana hata kwenye chaguzi mbalimbali za kiafrika hata kama mtu anaachia ngazi lkn hakubali wananchi wachague mrithi wake wanayempenda wao lazima wahujumu tu uchaguzi ili mtu wake ndiye atangazwe mshindi.

Hiyo ndiyo Afrika, bara ambalo wanapenda sana kutafuta mchawi kwa matatizo wanayojiletea wenyewe.
 
Kwa wanaosema huyo Rais mwenye miaka 89 ni mzee, mnatakiwa mfahamu Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka 80. Hivyo either ni mna double standards au ni kawaida ya Waafrica kutojipenda wao wenyewe.
Wewe unayeona kwamba ni sawa kwa Rais kuendelea kuwa madarakani kwa umri kama huo wewe mwenyewe ni tatizo ama
Unapaswa kujitathimini ikiwa kama uko sawa,unaweza kutetea ikiwa una maslahi binafsi na Rais kuwa madarakani bila kujali umri wake kwa maana ya kwamba Rais ni mzazi wako ama ni kutoka katika jamaa yako au pengine ni wewe unataraji kuwa Rais siku zijazo na nia yako ni kwamba hutoachia madaraka hata kama umri utakuwaje hadi ufie kwenye kiti.
 
Bora huyo mzee kuliko Joe Biden, yeye ni kawaida yake kusahau.
Sawa lakini ya Joe Biden is ain't to such extent ya huyu rais wa Cameroon, yaani mpaka anauliza maswali yote hayo while the microphone was on!🤔
 
Sawa lakini ya Joe Biden is ain't to such extent ya huyu rais wa Cameroon, yaani mpaka anauliza maswali yote hayo while the microphone was on!🤔
Kauliza maswali mengi mno huyu dingo na hapo kinachofuata ni huyo msaidizi wake kuuwawa kama walivyouliwa wale waandishi wa Sudan kusini waliompiga picha Rais wao akijisaidia kwenye suti
 
Kwa wanaosema huyo Rais mwenye miaka 89 ni mzee, mnatakiwa mfahamu Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka 80. Hivyo either ni mna double standards au ni kawaida ya Waafrica kutojipenda wao wenyewe.
Itakuwa huna baadhi ya taarifa.
1. PB ni mzee zaidi ya BIDEN
2. PB amekaa madarakani over 40yrs while BIDEN ni less than 4yrs.
3. PB anaiongoza Cameroon akiwa anaishi ufaransa tena hotelini BIDEN anaiingoza marekani akiwa marekani.

Hizo ni baadhi ya tofauti kati ya hao wawili so far.
 
PB anaiongoza Cameroon akiwa anaishi ufaransa tena hotelini BIDEN anaiingoza marekani akiwa marekani.
Kwahiyo hapo Paris alikosa nyumba ya kununua au yuko addicted sana na mawaitress
 
Mwenye picha tafadhali wakuda
 
Bila picha huu Uzi ni batili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…