Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

Weka fideo tujionee....
 
Udikteta huwa haufanywi na mtu mmoja. Kuna maelfu ya watu wenye nguvu nyuma yake ndiyo hawataki aondoke.
 
Hapa tunaongelea Rais kuwa madarakani au tunaongelea Rais na uwezo wake mdogo wa kumbukumbu?
 
Ni mzee kwa gap la miaka 9. Hayo mengine yanahusiana vipi na huyo mzee kusahau sababu hata Biden anasahau.
Hizo taarifa nyingine ni irrelevant according to my statement na out of scope of this topic.
 
Mnaosema udikteta na urais wa milele ndio unaleta maendeleo itazameni Cameroon.
 
Kwa wanaosema huyo Rais mwenye miaka 89 ni mzee, mnatakiwa mfahamu Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka 80. Hivyo either ni mna double standards au ni kawaida ya Waafrica kutojipenda wao wenyewe.
Biden hajaongoza muda mrefu tofauti na huyu Biya toka tupo shule za Msingi tumemaliza Chuo tumeanza kazi na watoto wanaenda kumaliza chuo yeye bado anaongoza tuu...pana miguu miwili tofauti hapo..Afrika tunaipenda we call it home they call it Afrika ila sio kwa madudu hayo...
 
Hapa tunaongelea Rais kuwa madarakani au tunaongelea Rais na uwezo wake mdogo wa kumbukumbu?
Kwa kawaida matatizo ya umri mkubwa ni pamoja na kupoteza kumbukumbu sidhani kama mzee rais alikuwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu siku za nyuma kwenye
 
Huyo hata kuongoza haongozi tena,bali kakalia tu kiti cha uraisi akisubiria siku yake ya kufa...
 
Safi biya fia madarakani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wanaosema huyo Rais mwenye miaka 89 ni mzee, mnatakiwa mfahamu Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka 80. Hivyo either ni mna double standards au ni kawaida ya Waafrica kutojipenda wao wenyewe.
Biden amekalia kiti cha uraisi miaka mingapi?
 
Mbona Joe Biden huwa anajisahau hadi anasalimiana na upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…