Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.