Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,693
- 3,597
Kazi yake kubwa kula starehe na kuwafadhili Wanamuziki Nguli wa DRC ili wamuimbe na kumpaisha vizuri.Kuna mkongwe Theodoro Nguema wa Guinea Equatorial yuko in power since 1979.
Kazi yake kubwa kula starehe na kuwafadhili Wanamuziki Nguli wa DRC ili wamuimbe na kumpaisha vizuri.Kuna mkongwe Theodoro Nguema wa Guinea Equatorial yuko in power since 1979.
Mwamba ana akili za kisisiemHuyu mwamba alikuwa akiiendesha Cameroon kwa auto pilot, mwamba maisha yake yote alikuwa akiishi zake ughaibuni, wakati mwingine kipindi cha uchaguzi, yanatembea mabango tu, mwamba yupo zake Paris, yaan anaweza kaa miaka 4 hajakanyaga hapo, the rest is history..🇨🇲 ukiondoa Soka, huko kwingine walishikwa kalio.
AmepumzikaMiaka 93, madarakani miaka 43
Huyo afe tuu, na mwili wake uchomwe moto huko huko
Eto'o chukua form chapAisee bora. Labda Cameron itapumua
SafiAmepumzika
Doumbiya kazingua sana..yani kashindwa kabisa kuscore kwetu kaenda Cameroon...Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.
Doumbiya kazingua..yani kashindwa kabisa kutupa furaha Bongo mpaka aende Cameroon..Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.
Libibi lenu nyie nguruwe linafata saiv limepinda meno na mdomo plus vidole vya kushoto.ok.🐒