Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Yawezekana na ni Tinubu wa Nigeria piaKuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.
Hali ni tete sana. Afrika kutangaza vifo vya marais waliopo madarakani ni kamzozoYawezekana na ni Tinubu wa Nigeria pia
ok.🐒Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.
Wacha lifilie kwa mbali. dikiteitaKuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka 43 sasa.
Inadaiwa maafisa wa ngazi za juu nchini humo wapo bize kuandaa nani atakuwa mrithi wa Paul Biya baada ya tangazo la kifo chake litakapokuwa rasmi kwa umma.
Jamaa ni nomaKuna mkongwe Theodoro Nguema wa Guinea Equatorial yuko in power since 1979.
😂😂😂Yawezekana na ni Tinubu wa Nigeria pia
Ingekuwa ni huyo ungesikia milio ya baragumu kila kona ya nchi hiyo.RiP,
Ukute ni yule dictator katili wa Malawi