Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Alitakiwa afe maana nasikia anaongoza taifa lake akiwa nje ya nchi.Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka patio na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.
Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.
Bia anamwaga muda si mrefu.
Nikiripoti habari nyepesi ama tetesi nikiwa chako ni chako.
Si muda utazipata kikamilifuAiseee
Afya ya Biya hatoboi next year yote, ana hali mbaya....joking may atafika hio 2025Aliingia madarakani mwaka 1982 baada ya kung'ang'ania urais alipokuwa ameachiwa ofisi ashikilie kwa muda na rais Ahmadu Ahidjo aliyekuwa ameenda kwenye matibabu nchini Ufaransa.
Ahidjo aliporejea na kudai urais wake jamaa alitaka kumuweka ndani na ndipo Ahidjo aliona isiwe shida akarejea tena Ufaransa na baadaye kufariki dunia akiwa ukimbizini.
Huyo ndiye Bw. Paul Biya na yeye kila uchaguzi kwa kuwa tume ni yake hushinda kama apendavyo kila baada ya miaka 7, uchaguzi ujao ni mwezi wa 10 mwaka 2025.
Kizembe hvyooooNext president wa Cameroon ni Samwel Etoo
Ndio mikakati yenyewe hio it's very clear.Kizembe hvyoooo
Hawa ni wale wanachuo wa first year walioingiziwa boom hivi karibuni.Shule zimefungwa?
Shemeji wapi MMNext president wa Cameroon ni Samwel Etoo
angalia mwenyewe tu mi mwenyewe jini.Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.
Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.
Bia anamwaga muda si mrefu.
Nikiripoti habari nyepesi ama tetesi nikiwa chako ni chako.
Ipo video ila sio wakati muafaka kuipandisha maana kuna wabishi utazani ni majini kimbunga
Akili mtu wangu 🤌Ndio mikakati yenyewe hio it's very clear.
Vipi kuhusu Liberia ,system ikiamua kukuweka inakuwekaKizembe hvyoooo
Halafu zote wakawekeza kwenye crypto. Sasa wamebaki kulia lia.Hawa ni wale wanachuo wa first year walioingiziwa boom hivi karibuni.
Etoo hawezi kuwa Rais licha ya influence. Anapigwa vita sana. Kila miradi ya maendeleo akitaka kuanzisha wanampiga vita wanamuambia lazima ipitie serikalini na izinduliwe. Watu wa Kabila la Biya wameapa watatawala milele Cameroon. Etoo ametokea kabila la Basaa ndo wasukuma wa Cameroon kwa wingi. Ila kuna kabila linaogopwa kwa maendeleo wachaga wa Cameroon wanaitwa Bambeleke. Makabila mengine Cameron waapa hawatapata madaraka.Eto'o ANAWEZA Kwa influence yake ya mpira kama GEORGE WEAH LIBERIA ....AKITANGAZA NIA ANAWEZA SHINDA
Sasa mbona jamaa alipokonywa urais kizembe hivyo 😆 hakuwa na jeshi auAliingia madarakani mwaka 1982 baada ya kung'ang'ania urais alipokuwa ameachiwa ofisi ashikilie kwa muda na rais Ahmadu Ahidjo aliyekuwa ameenda kwenye matibabu nchini Ufaransa...