Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.

Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.

Bia anamwaga muda si mrefu.

Nikiripoti habari nyepesi ama tetesi nikiwa chako ni chako.

Ipo video ila sio wakati muafaka kuipandisha maana kuna wabishi utazani ni majini kimbunga
 
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka patio na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.

Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.

Bia anamwaga muda si mrefu.

Nikiripoti habari nyepesi ama tetesi nikiwa chako ni chako.
Alitakiwa afe maana nasikia anaongoza taifa lake akiwa nje ya nchi.
 
Aliingia madarakani mwaka 1982 baada ya kung'ang'ania urais alipokuwa ameachiwa ofisi ashikilie kwa muda na rais Ahmadu Ahidjo aliyekuwa ameenda kwenye matibabu nchini Ufaransa.

Ahidjo aliporejea na kudai urais wake jamaa alitaka kumuweka ndani na ndipo Ahidjo aliona isiwe shida akarejea tena Ufaransa na baadaye kufariki dunia akiwa ukimbizini.

Huyo ndiye Bw. Paul Biya na yeye kila uchaguzi kwa kuwa tume ni yake hushinda kama apendavyo kila baada ya miaka 7, uchaguzi ujao ni mwezi wa 10 mwaka 2025.
 
Afya ya Biya hatoboi next year yote, ana hali mbaya....joking may atafika hio 2025
 
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.

Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.

Bia anamwaga muda si mrefu.

Nikiripoti habari nyepesi ama tetesi nikiwa chako ni chako.

Ipo video ila sio wakati muafaka kuipandisha maana kuna wabishi utazani ni majini kimbunga
angalia mwenyewe tu mi mwenyewe jini.
 
Eto'o ANAWEZA Kwa influence yake ya mpira kama GEORGE WEAH LIBERIA ....AKITANGAZA NIA ANAWEZA SHINDA
Etoo hawezi kuwa Rais licha ya influence. Anapigwa vita sana. Kila miradi ya maendeleo akitaka kuanzisha wanampiga vita wanamuambia lazima ipitie serikalini na izinduliwe. Watu wa Kabila la Biya wameapa watatawala milele Cameroon. Etoo ametokea kabila la Basaa ndo wasukuma wa Cameroon kwa wingi. Ila kuna kabila linaogopwa kwa maendeleo wachaga wa Cameroon wanaitwa Bambeleke. Makabila mengine Cameron waapa hawatapata madaraka.
 
Aliingia madarakani mwaka 1982 baada ya kung'ang'ania urais alipokuwa ameachiwa ofisi ashikilie kwa muda na rais Ahmadu Ahidjo aliyekuwa ameenda kwenye matibabu nchini Ufaransa...
Sasa mbona jamaa alipokonywa urais kizembe hivyo 😆 hakuwa na jeshi au
 
Back
Top Bottom