Rais Putin adai ataendeleza vita huko Ukraine

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin imeoneshwa moja kwa moja na vituo vyote vya televisheni vya taifa.

Kulikuwa na usalama wa hali ya juu katika eneo la katikati ya mji mkuu Moscow kabla ya hotuba hiyo ya mwaka ya rais Putin iliyogusia pia masuala ya kiuchumi na kijamii iliyotolewa mbele ya bunge la nchi hiyo.

Putin amesema wale wanaotarajia Urusi kushindwa huko Ukraine wasahau kwani watashinda tu

Hotuba nzima ya Putin ipo katika coment

 
Kabisa naona pennyslavenia wamejaa FSB ajents kuliko wakaazi wenyewe wa maeneo hao soon Babu watamtwaa
Mkuu huyo sio kama wewe nikikuhitaji nakunyaka asubuhi tu na hiyo Chakubanga Yako Sema Suuu!
 
Putin amesema wale wanaotajia Urusi kushindwa huko Ukraine wasahau kwani watashinda tu

Nahuu ndio ukweli hawatakaa waishinde RUSSIA yaani RUSSIA akishindwa basi wajue nawao watashindwa
Hapo ndo kusema: Bila-Bila au
 
Putin na Urusi ilishapoteza vita muhimu sana ya geopolitics mwaka 2014 baada ya yale maandamano ya Maidan yaliyomuondoa madarakani kibaraka wa Urusi nchini Ukraine.

Anachokiendeleza hivi sasa ni desperation tu kutokana na matokeo ya ile vita.
 
Siku tatu sasa mwaka umeisha, wanajeshi wengi wamekufa na wengine kujeruhiwa hadi kupeleka wafungwa kwenye vita, sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…