Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Muda utaongeaPutin na Urusi ilishapoteza vita muhimu sana ya geopolitics mwaka 2014 baada ya yale maandamano ya Maidan yaliyomuondoa madarakani kibaraka wa Urusi nchini Ukraine.
Anachokiendeleza hivi sasa ni desperation tu kutokana na matokeo ya ile vita.
SMO iendeleee.....