Utakuwa hata elimu yako ni tatizo, kama sio elimu basi hata taarifa za kidunia hufuatirii, huwezi kuilaumu russia kwa inachokifanya bila kuwasahau NATO ama mataifa ya ulaya& USA, hawa ndio madicteta kwa mgongo wa Democracy uchwara, hawa ndio wauwaji na washenzi kulko hata huyo putin ambaye anafanya hayo kwa maslahi ya ulinzi wa nchi yake.
Alafu ni nani aliwadanganya mtu kukaa madarakani milele ni udicteta? Haya ninyi ambao si madicteta mnawazid vip chinese wanaoongozwa na rais wa milele? Hiyo demokrasia yenu inawazid vip russia? Saud arabia je? Haya basi hata huwaoni hao Uingereza ambao cheo cha urais hakipo kipo cheo cha Prime minister ambaye yuko chini kimamlaka na malkia wa uongoz usio wa kidemocras, je huoni hapo kuna uongoz wa rais dicteta aliye kwenye kivuli na kificho cha umalikia?
Haya na huko USA kwenye demokrasia kipindi cha uchaguz kati ya donard trump na clinton unajua wazi aliyeshinda ni huyo mwanamke clinton, je kwanini uongoz apewe ambaye hakushinda ambaye ni trump? je huo si udicteta na kuhujumu haki za wapiga kura?
Kama hamjui mambo yanavyokwenda duniani ni bora muwe mnakaa kimya kuliko kujiaibisha hapa mitandaoni
View attachment 2249801