Putin anabweka tu kuhusu syria,usa miaka sasa eneo lenye mafuta liko chini yake,eneo ambalo mrusi amelishikilia kama latakia na tartusi kupata lita 20 tu ya petrol au diesel usubirie wiki nzima na hilo eneo hata umeme hamna
Angalia ripoti ya akiba ya mafuta ya syria ya mwaka 2010 😀,usa wakatumia fursa kuanzisha vita halafu wakayawahi maeneo ya mafuta,toka 2011 jamaa wamehodhi hayo maeneo 😀