Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Urusi yupo Jangwani huku Marekani yupo kwenye maziwa na asali hapo Syria.Putin anabweka tu kuhusu syria,usa miaka sasa eneo lenye mafuta liko chini yake,eneo ambalo mrusi amelishikilia kama latakia na tartusi kupata lita 20 tu ya petrol au diesel usubirie wiki nzima na hilo eneo hata umeme hamna