Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Ushauri potofu, dunia ya waliostaarabika haiwezi kukaa kimya ikiangalia uonevu wa wazi ukiendelea. Nato na us tayari wako mpakani mwa Ukraine...tusubiri majibu ya vipimo
 
Naona maono ukraine wanashona nguo nying za kijesh na kuwavalisha askar wa kimarekan kisha wamarekan wanaenda kumpiga nying za chembe urusi mpaka maji anaita mma
 
Ushauri potofu, dunia ya waliostaarabika haiwezi kukaa kimya ikiangalia uonevu wa wazi ukiendelea. Nato na us tayari wako mpakani mwa Ukraine...tusubiri majibu ya vipimo
Tusubiri, ngoja nifukue handaki aliloacha babu
 
Team Putin wanavyovimba sasa! Hata Adolf Hitler wangemvimbisha kichwa hivi hivi. Kama walifanya hivyo kwa Saddam unadhani kuvimba kwao leo ni ajabu sana?
ukumbuke hata huyo ADOLPH HITLER aloweza kumkabili vilivyo na kumkalisha ni mrusi
tuombe tu hii vita isiindelee kumbuka km NATO ikiamua kujibu mapigo na URUSI hakajibu mapigo kwa NATO DIRECT katika NCHI zake hata wewe huku utaathirika pakubwa KIUCHUMI na maisha yako yatayumba ingawa hutaweza kuona kwa sasa ila utakuja kutambua tu baada muda fulani
DUNIA siyo uwanja wa VITA ni sehemu ya kuishi kwa USALAMA
 
2020 Mchina alituchagulia maisha ya dunia kujifungia na kunawa mikono hadi leo.
Na sasa Putin ameamua aharibu uchumi wa dunia.
Yetu macho na sala
 
Hiyo mbuzi haiwezi mpiga mmarekani, hata marekani akipigania vita kitandani
 
Hizo ni ngonjera za Boris Johnson, waziri mkuu wa Uingereza, usizizingatie sana, hawana cha kufanya zaidi ya kukimbilia vikwazo.

Waingie mzigoni wao kama NATO (nchi zaidi ya 20)

Hivi kwa akili ya kawaida tu unadhani Russia ana silaha kali na za kisasa kuwazidi wengine hasa Marekani na Israel?

Sema tu dunia ya leo vita iliyobaki ni ya maneno zaidi na sio vita ya kuiingiza nchi katika hasara ya matrilioni ya fedha.

Hivi Marekani naye akisema aingize silaha zake na makombora ya kisasa pale Ukraine unadhani Russia atabaki salama?

Maana Marekani siku zote hapiganii vita nchini mwake bali nchini mwako ama jirani ili madhara ya vita uyapate wewe.
 
Usifananishe Ukraine na Iraq ndg.Marekani aliivamia Iraq baada ya kua amehakikisha S.Hussein hana chochote cha kuwasumbua.Kumbuka Marekani alikua ashaingia Iraq muda tu tofauti na hali tunayoishuhudia kwa sasa kati ya Urusi na Ukraine.
 
Hiyo haina haja ya kuomba, wao wenyewe NATO wanajua kuwa Putin ni maji marefu. Hafikirii mara mbili mbili kutumia mijizana yake ya vita kwa yeyote atakayeingiza pua yake Ukraine
Kwamba hizo zana anazo Russia pekee?

Kuna nchi zina zana na makombora ya kisasa sema hawaoni umuhimu wa kuingia gharama za billion of dollars kwenye vita visivyo na faida kwao.

Kama Marekani angekuwa na maslahi ya kudumu hapo Ukraine amini Urusi asingeingia kichwa kichwa kihivyo lazima angeufyata.
 
Marekani hawezi kujaribu Ukraine kwa sababu anajua 100% kwamba Putin ana haki zote kufanya hivyo. Stop being ignorant and wake up!
 
Kwani Adolf Hitler alianza kupigwa siku hiyo hiyo aliyoingia Poland?
Hitler hakuwa na nuclear,,
Kama marekani anaweza shambulia iraq syria, au libya,,
Unategemea Russia wakae kimya wakati NATO wanazidi kuizinguka na kuisogelea?
Marekani hajawahi kuwa na nia njema na Russia hata pale Soviet ilipovunjika, marekani na wenzake waliendelea kuitanua NATO,,, na hiyo NATO iliundwa kwa kazi moja tu ya kupambana na mrusi
 
Warusi wanajulikana ni wapiganaji vita wazuri,, na hii ni pamoja na wa ukraine, masna walikuaga nchi moja ,
Hawa wamarekani, wafaransa, waingereza, nchi za marekani, wamezoea luxury,, hawawezi mapambano na Mrusi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…