Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

War -update

Mji wa Hostomel umeangukia kwenye mikono ya Warusi.upo umbali wa km 36 kutoka mji mkuu wa ukraine
Umbali wa Posta hadi Chanika kazi wanayo Ukraine but Putin will not launch heavy weapons anatoa vitisho kwa sababu hana resources za kupambana na nchi nyingi ikiwa USA na washirika wake NATO wakiamua kumlinda Ukraine na hilo hata Putin anajua vizuri

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada , increase your 'wiseness'!

Siyo wote tunapenda kukuona 'umechutama' kisa mambo ambayo hukuyatarajia. Tunahitaji bashasha na tabasamu kwenye paji la uso wako muda wote.

Lugha laini sana hii utakuwa umenielewa.
 
Heavy weapons kawawekea watakaoshoboka kuingilia..............kitu cha hypersonic huitaji kupeleka manowari,ndege wala wanajeshi unamaliza kazi yako fasta
 
NATO ikiamua kujibu mapigo na URUSI hakajibu mapigo kwa NATO DIRECT katika
Ukraine anataka kuwalazimisha wainhie vitani lakini wako makini sana NATO kutoingia mtego huu. Mfano leo asubuhi, askari wa Ukraine kapeleka Sukhoi huko Romania (NATO Member) bahati nzuri Romania wakamuwahi na mkulazimisha aishushe...bado wamemshikilia askari huyo. Sukhoi ilikuwa inaelekea kwenye base kubwa ya Kijeshi ya NATO nchi Romania.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1258][emoji635] US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
 
Du! Kumbe wewe jamaa ni mweupe kiasi hiki. Russia ni mkibwa mwenzako na ni lazima kuwepo na kuheshimiana. Wamarekani msihishi kwa mazoea dunia imebadilika sana
 
Mi naona waiingize tu ili ccm waachie taifa tu
Nimefuatilia, ninavyoona Marekani hana nia ya dhati kupigana na russia. Inamchochea apigane na jirani yake halafu inapiga kelele iwekewe vikwazo huku ikitoa silaha.

Ni kama mtu anayecheza playstation wakati russia yupo uwanjani kabisa.

Mwisho russia atakuwa kamshinda ukrain, russia itakuwa na mavikwazo lukuki na marekani wataendeleza propaganda za kumlaani urusi awekewe vikwazo zaidi labda na kutoa msaada kwa ukrain.

Mfano imagin Abrovomich mmiliki wa chelsea bilionea wa russia raia wa russia akiguswa na hivi vikwazo na alivyowekeza england.
 
Sasa mpiga mkwara ni nani kati ya NATO na Urusi?

Tangu mwaka jana nato wanasema watamkomesha Urusi endapo akifanya shambulizi la kwanza.
Tangu jana tunaona mwanaume Putin anachanja mbuga tu huku magharibi wakijibu tofauti na walivyomvimbisha kichwa rais wa Ukraine 😁😁
 
futa hii
israel ni jimbo la marekan nje ya marekan
 

Sawa sawa Waziri wa Ulinzi wa Russia, wamatumbi waongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…