Rais Putin anaongea sana bila vitendo

Rais Putin anaongea sana bila vitendo

Nchi zote za ujamaa ni vilopo sana,matendo sifuri.Unaweza tishika ukiambiwa nguvu zao lakini njoo kwenye utendaji sasa ni bure kabisa,Russia wa kushindwa kuchukua bakhmut karibia mwaka sasa!,aibu hii.
 
Mm nilijua anachukua Kiev ndani ya saa 24 tu.Sasa ataweza the hague???
 
Back
Top Bottom