MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea.
Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana yanaendelea kushushwa Ukraine ya kukinga dhidi ya hayo mabomu.
Amekusanya wanywa gongo wenyewe wamejichokea, kuna taarifa za aibu zinajitokeza namna hao vijana wanateseka, wengi wanalala nje au sakafuni.
Sasa ameanza kuachia vitaarifa kwamba yuko radhi kuachia baadhi ya maeneo almradi Ukraine waache kushambulia, na kwamba kwenye mazungumzo Crimea isitajwe.
Ikumbukwe daraja alilokua anategemea kusafirisha silaha lilipigwa, sasa yuko hoi.