Rais Putin anaposema yuko tayari kuachia baadhi ya maeneo, kwani kura alikuwa anapiga ya nini?

mpka masela wavaaa SNEAKERS. Wako wanapewa sala ili waende then warudi kwenye mifuko
 
Usiwe mwepesi sana kusikiliza propaganda za vita take time
 
Saivi anachukua na sehemu ya Kyiv ndio maana wachina wameambiwa wasepe Ukraine. Keep dreaming kwamba kuna ardhi ataachia
 
Ana moyo sana, hakati tamaa - Zelensky akishindwa vita kuna watu watakufa kwa ugonjwa wa MOYO.

Niliawaambia mpaka mtaita maji ma...mlimpa Zele masaa 24 aihame Ukraine, ikashindikana, mkajaribu kuparamia Ukraine ikashindikana mkaondoshwa na wabeba javelin, mkashambulia kwa mabomu yakapanguliwa japo mengine yakapiga bembea za watoto....
Mbele kwa mbele yaani...
 
Propaganda hizo.. Jamani, Ukraine anavunjwa vunjwa huko, nyie pigeni story za mtandaoni tu.
 
Propaganda hizo.. Jamani, Ukraine anavunjwa vunjwa huko, nyie pigeni story za mtandaoni tu.

Tangu wavaa makobaz muanze kusema Ukraine anamalizwa, siku zimepita 200 leo Urusi anahangaika kusaka wanywa gongo wakapigane Ukraine.
 
Vilianzia Crimea vinaishia Crimea, hatuna muda na distractions.
Umesikia rais wa China amewaambia raia wake waondoke Ukraine? Sasa jiulize nini kinafuataπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Endelea kujifariji
 
Putin tafadhali usifanye hivyo kuachia maeneo kizembe, sisi washabiki wako tunataka tuone kile kifurushi Cha Nato kimechoanza kushushwa Kiev juzi kianze kufanya kazi, au hautaki washabiki wako tufurahi.
Putin anatukera sana anashindwaje kumaliza hii vita tulishakubaliana urusi ni supa pawa sa inakuwaje kijivita kidogo tu tena anapambana na taifa ambalo linajilinda tu maskini hata halirudishi mashambulizi urusi yaan unapigana ngumi na mtu ambaye kalinda tu uso na bado anakusumbua ngumi haziishi. Urusi anatuaibisha sana mashabiki wake. yaani kumbe hata drone mpaka apate za kupewa na kubembeleza kulialia mpaka kazifuata toka iran dah .Dah hao askari wake anaomobilize nusu hawajimudu sijui kayakuta madume michicha yaani huu mwaka hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…