kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Pamoja na west kuisaidia Ukraine hawataweza kukomboa hata jimbo moja kati ya yaliochukuliwa. Ni waoga sana wa vita, ikiwa walishindwa Somalia ma Syria watawaweza urusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema Russia haina mpango wa kuivamia Ukraine!!! Tena alisisitizaAlisema anamaliza SMO kwa muda gani?
Nchi yote miaka ya 90 ilikuwa Russia?Kwa Russia mpaka sasa aikuwa ‘all out’ war na Ukraine, lengo ni kuchukua maeneo yanayoongea kirusi ndani ya Donbas na walishuvuka hiyo mipaka.
Hayo maeneo waliyoyaachia na kurudi nyuma hawana interest nayo vile lakini awajaachia bado maeneo wanayoyataka.
Escalation ya vita ni Russia akisema full all out war against Ukraine; sidhani Zelensky kama atauweza huo mziki.
Western media wanavyozungumza Russia kutaka kuimega Ukraine, wakati nchi yote hiyo miaka ya 90 ilikuwa Russia.
Common denominator ya USSR ilikuwa culture na language.Nchi yote miaka ya 90 ilikuwa Russia?
USSR sio Russia,
mkuu humu mitandaoni siku hizi inabidi tubaki wasomaji tu, kuna kundi kubwa la watu wanaojua mapinduzi ya zanzibar yaliongozwa na ASP ya Karume, watajulia wapi ya ukraine?Common denominator ya USSR ilikuwa culture na language.
After split Russia bado ina hizo values za iliyokuwa USSR na nchi zote zilizojitenga raia wa mipakani na USSR bado wanaendeleza hizo values. Donbas sio tu wanaongea kirusi ila ata culture pia.
Ndio maana kwenye siasa za Ukraine kuna split loyalties kati ya west na Russia.
Ni hivi huyo comedian anaiharibu tu hiyo nchi, NATO wanajua what Russia is capable of ndio maana awataki direct provocation nae.
Angalia media zao leo ukitoa US wote wapo concerned Russia akiamua ku escalate huo mgogoro na kuivamia Ukraine yote. Watu wengi wataumia na ataivuruga hiyo nchi na baada ya vita Russia akitoka si ajabu ikaingia kwenye civil war.
Zelensky hajui anachokifanya anatumika tu kama laboratory experiment kumpima Russia at the cost of unnecessary loss to human life.
Anapigana na ulaya yote na marekani...🤔🤔🤔😂😂😂Vita aliyoahidi kuimaliza kwa muda mfupi katumia miezi minane na hajaimaliza.
Agangamale!Anapigana na ulaya yote na marekani...
Mpaka sasa napigna na NATO na ulaya yote nchi Zaidi ya 31 zinampa misada ya kijeshi Ukrain ..au hujafuatilia vzuri hiyo vita. Kiasi alichopata Ukrain kama msaada ni Zaidi ya mara kumi ya misaada ikiyopewa Africa yote tangu 2020.Mkuu Una akili kweli? Putin anachezeshwa segere na Ukraine kwa Miezi saba sasa af sasa unakuja kusema Russia Inaweza Kufyeka Nchi 27 za NATO!?? Hivi unavuta hiyo Bhange ukiwa wapi?
Wafuasi wa Putin kwasasa wamechanganyikiwa kama Putin mwenyewe.Ushahidi upi unataka weye? Unaishi uvunguni hadi haujui alichokisema?
Kwa Russia mpaka sasa aikuwa ‘all out’ war na Ukraine, lengo ni kuchukua maeneo yanayoongea kirusi ndani ya Donbas na walishuvuka hiyo mipaka.
Hayo maeneo waliyoyaachia na kurudi nyuma hawana interest nayo vile lakini awajaachia bado maeneo wanayoyataka.
Escalation ya vita ni Russia akisema full all out war against Ukraine; sidhani Zelensky kama atauweza huo mziki.
Western media wanavyozungumza Russia kutaka kuimega Ukraine, wakati nchi yote hiyo miaka ya 90 ilikuwa Russia.
Watu mrusi hana shida kabisaTatizo sio silaha ttzo ni watu wa kuendesha izo silaha wapo wakutosha,
Sio nchi nzima tena?Russia kuchukua Majimbo manne ya Ukronaz ni ushindi tosha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wameisaidia silaha, kazi ya kupigana ni ukraine wenyewe.Pamoja na west kuisaidia Ukraine hawataweza kukomboa hata jimbo moja kati ya yaliochukuliwa. Ni waoga sana wa vita, ikiwa walishindwa Somalia ma Syria watawaweza urusi?
Ukraine ndio anaomba silaha. Jukumu la kuingia ni maamuzi yao na hayafanywi na mtu mmojaUmefika muda west waingie vitan sio kutoa silaha