Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwa kukusaidia huo mkasa naujua na ulipelekea Viktor yanukovich aliyekua raise wa ukraine kukimbilia Russia
Kataa au ukubali Russia amechanga karata zake vibaya hakukua na haja ya yeye kutumia nguvu angetumia akili Leo unapeleka wanajeshi laki 3 ambao wengi wao hata training za kijeshi hawana na experience hawana unategemea nin
Precisely inaonekana wewe una fuatilia kweli.
Sasa ni kitu gani walikubaliana Belarus kati ya Ukraine na Russia; kumaliza mzozo wa Donbas?
Nani anaezuia kura za maoni?
Nani alieleta new arguments nje na makubaliano yaliyopo?
Nani alieataka mwenzake awekewe mizinga inayofika Moscow kwa muda mfupi?
Nani alieanza mazoezi ya kijeshi na nchi zingine kwenye Black Sea na kutaka kuwapa port ya Crimea; itumike na US/NATO.
Ni hivi hiyo vita EU aikuwa na appetite nayo, US ndio iliyokuwa ikitaka kuona Ukraine na Russia zina ingia kwenye mgogoro since Ukraine declared independence na ndio walikuwa watu wa kwanza kuitambua Ukraine as an independent state kabla ya hata majirani zake wa EU.
Shida kwenye huo mgogoro ni US.