Rais Putin aziambia nchi za Magharibi kuwa Urusi ina silaha nyingi za kuwafyeka

Kwanini hazikutumika Kharkiv? lakini kwanini operation imemchukua sasa miezi 7 na kutelekeza mitambo yake ya maana na wanajeshi wake kutimua mbio? Kwanini Kyiv aligeuza na kurudi zake Donbas lakini hivi Putini amepewa idadi ya askari wake waliouliwa toka operation ianze?

Hizo silaha kazificha wapi mpaka ameenda kuomba drons Iran lakini na North Korea lakini juzi kwanini aliitaka China impe majeshi yake wakapigane Ukrean?? haya masuali Putin anatakiwa kujibu
 
Jeshi la Urusi lilikua halijaingia vitani Sasa kazi inaendakufanyika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️NATO says next week’s referendums to join Russia illegitimate - Stoltenberg

German Chancellor Olaf Scholz has also stated Berlin will not recognize any of the outcomes, should they be in favor of joining Russia.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine ni uwanja wa kujaribia silaha kila Taifa linapeleka we umeona dron za Iran tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Leo amesema ana silaha za kuimaliza NATO lakini mbona amenuna Iran walipokataa kumpa silaha? North Korea pia hakupata kitu China juzi pia wamekataa, wanajeshi wametimua mbio Kharkiv na kutelekeza mavifaru na mitambo kibao Ukrean wanachekelea ngawira, lakini mavifaru ya Urusi tokea vita vya pili vya dunai yamejazana Kiyv kwenye sehemu za maonyesho watoto wanapiga navyo picha kwa style mbali mbali
 
We hizo habari Nani kakudanganya?hao wanajitengenezea silaha Wana technologia zote.tatizo unasikiliza Sana propaganda Sana za magharibi
 
Chanzo gani kiliripoti biashara ya silaha kati ya Urusi na Iran

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We hizo habari Nani kakudanganya?hao wanajitengenezea silaha Wana technologia zote.tatizo unasikiliza Sana propaganda Sana za magharibi
Mkuu kama Russia ana technologia kwann kaipigia magoti US iPhone 14 ziweze kuuzwa Russia?

Kwanini hakutengeneza za kwake akaishawishi dunia tukanunua simu bora kutoka kwa super power Russia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…