Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Tunawaomba wamarekani waingilie Kati....demokrasia inaminywa huko Russia....tehtehteh....hahahahaha
Subutuu. Ujinga huo wanatufanyia sisi tu huku walalahoi, hupo hutowasikia U.S.A wala washirika wake wote.
Ndo ujue marekani hapiganii democracy yoyote yeye yupo ki masilahi zaidi na hua anatafuta umaarufu tu na ubabe wa ovyo kwenye nchi ndogo.

Hapa nasubiri nione je wanaharakati wa Russia wataenda kwenye International forums kudai haki Kama kina Zitto.
 
Putin is a modern day dikteta, like China, Xi ni Rais wa maisha baada ya kubadilishwa kifungu cha katiba ya China ili atawale milele na nchi zingine kama North Korea, Saudi Arabia, Syria, Libya ya Ghadaffi, Iraq ya Sadam Hussein, Sudan, Uganda, Rwanda, Zimbabwe ya Mugabe, Gabon etc ni nchi zenye udikteta wa wazi wazi.

So Russia and China ni nchi kubwa ingefaa kuwa mifano mizuri ya demokrasia duniani, kwa bahati mbaya sana ndio nchi zenye mifano mibaya kabisa na kinyume kabisa na demokrasia, yaani udikteta mtupu. Hili la Putin, hutasikia hata US wakipiga kelele, ila ingekuwa nchi za Africa, ungesikia makelele dunia nzima, sbb kubwa ni umaskini wetu wa kuomba omba
 
Si hivyo tu...wapeleke jeshi la marekani karibu na Russia Kama walivyofanya kwa North Korea....Putin ni lazima aadabishwe...tehtehteh....hahahaha hatutaki mtu anaminya demokrasia ..lazima Putin afuate masharti ya Marekani...tehtehteh..hahahaha
Bila kusahau Uganda pia jeshi lipelekwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiendelea kukaa madarakani ntamuweka kundi moja na watu wajinga sana ingawa kwa sasa namuona ni miongoni mwa viongozi bora sana tulionao katika dunia ya sasa.

Nachoamini atafanya kama mwenzake wa Uzbekistan katoka lkn kawa mwenyekiti wa baraza la usalama....la taifa, Wa Cuba nae alitoka akabaki kama kiongozi mkuu wa chama cha kokomunisti...na Putin nahisi itakua hivyohivyo tu..

Ndo maana amependekeza kubadirisha katiba ili Rais na bunge wagawane madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin ameunga mkono uamuzi wa chama tawala wa kumtaka aendelee kusalia madarakani mpaka 2036 pindi muda wake utakapoisha mnamo mwaka 2024.

Binafsi Putin anasema hana shida iwapo ataendelea kusalia madarakani maisha.

Amesisitiza ikiwa Mahakama itaridhia kubadilishwa kwa katiba baada ya raia wa Urusi kumpigia chapuo la kendelea kusalia madarakani,yeye haoni kama kuna tatizo kuendelea kubaki kuwa mtawala wa Urusi hata kipindi chote cha maisha yake.

Vipi wadau kwa hapa Tanzania, mnaonaje kwenye ile katiba mpya tunayoililia tuweke kipengele cha rais kama amefanya vizuri aendelee tu kuongoza. Ila lazima wananchi wapige kura ya maoni ya "Ndiyo" au "Hapana" halafu mahakama impitishe kuendelea kuongoza tu mpaka tuchoke sisi?

======

Putin approves changes allowing him to stay in power until 2036

Putin.jpg

Russian President Vladimir Putin has opened the door to constitutional changes that would allow him to remain in power until 2036, but said he favoured term limits once the country became politically "mature".

Putin, who in January this year unveiled a major shake-up of Russian politics and a constitutional overhaul, is required by the constitution to step down in 2024 when his second sequential and fourth presidential term ends.

But addressing the State Duma, the lower house of parliament, the 67-year-old on Tuesday gave his qualified blessing to a proposed change to the constitution that would formally reset his presidential term tally to zero.

"The proposal to remove restrictions for any person, including the incumbent president ... In principle, this option would be possible, but on one condition - if the constitutional court gives an official ruling that such an amendment would not contradict the principles and main provisions of the constitution," Putin said.

He said US President Franklin D. Roosevelt serving four terms because of the upheaval his country was going through at the time was an example of why presidential term limits were sometimes superfluous.

"In conditions when a country is experiencing such shocks and difficulties, of course ... stability is perhaps more important and must be a priority," he said, adding that Russia was still recovering from the 1991 collapse of the Soviet Union.

If, as Putin's critics suspect, the constitutional court gives its blessing to the amendment and it is backed in a nationwide vote in April, Putin could serve another two back-to-back six year terms.

Were he to do that, and his health and electoral fortunes allowed, he could stay in office until 2036 at which point he would be 83.

Kremlin critic and opposition politician Alexei Navalny said he believed Putin was now set to become president for life, while Navalny's ally, Ivan Zhdanov, decried the move as tantamount to a constitutional coup.

'ROOM TO MANOEUVRE'
Putin now had more room to manoeuvre politically, said Tatiana Stanovaya, a non-resident scholar at the Carnegie Moscow Center.

His stance handed him the option to run again in 2024 should he choose to do so and removed political challenges raised by what had been seen as his last term in the Kremlin, she added.

"The successor issue disappears. The issue of Putin as a lame duck disappears," said Stanovaya.
Opposition activists said they planned to protest against what some called a rewriting of the constitution in the interests of the ruling elite. One group said it had applied for permission to stage a demonstration on March 21.

Moscow's government said in a statement late on Tuesday that it would stop all public gatherings in the city of more than 5000 people until April 10 due to coronavirus-related risks.

A former KGB officer, Putin, who is serving his fourth presidential term and has also served as prime minister, has dominated the Russian political landscape for two decades.

Putin has not spelled out what his plans for the future are, but he has said he does not favour the Soviet-era practice of having leaders for life who die in office.

Putin appeared before parliament on Tuesday after Valentina Tereshkova, a lawmaker from the ruling United Russia party and the first woman in space, told parliament she was proposing to amend the constitution in a way that would reset his presidential term count to zero.

Explaining the surprise move, Tereshkova said voters had told lawmakers in recent meetings that they wanted Putin to "stay nearby", whatever constitutional changes occurred.

"What if suddenly something goes wrong?" asked Tereshkova. "He (Putin) will be able to support, help and have our backs."

Her proposal came as parliament was examining and preparing to vote on Putin's constitutional shake-up in the second of three readings, something it later did, approving it and Tereshkova's amendment.

Source: Reuters
 
Putin nae ni dikteta tu kama walivyo kina M7, alimpa Medvedev kipindi kifupi huku yeye akiwa PM, akaona hana authority anayoitaka ikabidi amuondoe Medvedev na kurudia nafasi yake pendwa.
 
TheDreamer Thebeliever,
Kama anamiliki dola,hiyo kura ya ndiyo au hapana unadhani itakuwa na maana?Hamuoni tu hatari iliyoko mbele,ukipata jitu kama Idd Amin,si litatawala milele kwa kielelezo kuwa linapendwa na kura ya ndiyo au hapana imethibitisha hivyo?Tuwe serious!
 
Back
Top Bottom