Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Miaka 5 tu imekuwa mingi sana mpaka tunaona heri Mungu afanye yake kama jamaa atapita tena,halafu wewe unakuja na upuuzi gani tena?
 
Hana ubora wowote kimsing ukimuweka kwenye mizani na watangulizi wake yeye ndio wa mwisho kwa ubora

Halafu kama ndio kakutuma uje upime upepo kamwambie hana hizo balls za kufika 2035, 2025 tu ni kwa wasiwasi maana tumemwona anavyohanya uchaguzi wa October/November.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Yeye mwenyewe alisema miaka 10 ya kikatiba inamtosha.

Haya mambo ya kuiga siyo kwa kila jambo, tuheshimu msimamo wa Rais Magufuli tafadhali!
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Mfanyeni mfalme kabisa, atawale maisha, akifa mtoto wake amrithi.

Halafu bunge mlivunje.

Awe anatawala kwa maramko tu.

Hapo vipi?

Lakini akiwakamua mpaka mavi msitusumbue kuomba misaada.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Mruhusu aje aoe kwenu, awe baba wako wa kufikia itakuwa umekaa naye karibu na mapenzi yako kwake yametimia
 
Crimea,
Ukikubali kutembeza bakuli basi fuata masharti!Hivi akili zenu huwa mnaziacha wapi?Unataka US aende kumpangia Russia nini cha kufanya?Idiot
 
Sisi tusio wazalendo hatumtaki na ndio tulio wengi,
Kama unamuhutaji muombe hata aiongoze familia yako hadi2050
 
Unavyosema rais bora afrika unatumia kipimo gani? Kuna majembe hapa afrika na wanafanya nzuri tu zaid ya jpm.

Ndio amefanya mengi mazuri .. maendeleo yanaonekana. Lakin ni mapema sana ku mjudge kuwa ni bora na aongewe miaka.
Nigrastratatract,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Watanzania wataishi kama wanavyotaka na si kama warusi watakavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hata ngedele ukimwekea ndizi moja na milioni moja atachukua ndizi moja kwa hiyo akili zako siwezi kukulaumu
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Mwenyewe jiwe, kila siku wenye akili kama hizi za kwako anawaita wa PUMBAVU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Magufuli ndiye Rais bora kabisa kwa sasa Africa

Kwa nini tuache kilicho bora twende kwa kitu kisicho na uhakika

Kuna haja ya Bunge lijalo ambalo nina uhakika 98% litakuwa la wanaCCM wafanye marekekebisho ya kikatiba yatakayobarikiwa na wananchi kumruhusu mheshimiwa atawale mpaka 2035
Usimfananishe Putin na taka taka.

Putin’s Hawezi Kuwaumiza wananachi wake.

mishahara haijapanda tangu Huyu meko aingie madarakani .amekufanyia Nini?

madaraja? Na mikopo ya elimu ya juu kulipa 15%
 
Wewe humtakii mema Rais wetu JPM.
Miongoni mwa kazi ngumu ni hiyo ya u-Rais.
Hebu mtazame tu alivyo zeeka ktk hii miaka miaka minne na nusu, sasa fikiria hiyo miaka 15 ijayo (2035) atakuwaje, Ni vyema tuwe na huruma kwa Bin-Adam wenzetu.

Mawazo na maoni haya kuhusu kazi za uongozi wa nchi yaliwahi kusemwa na Rais wa awamu ya tatu Mh. BWM hivi karibuni.

Wa Tz. tupo takriban 60mil. tuendelee kuomba kupata kiongozi bora pindi Dr. JPM atakapo ondoka madarakani-Inshallah.
 
Back
Top Bottom