Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Great point!! Big up
 
Kwan kua rais wamuda mrefu kunakufanya kua mjinga Siungi mkono maamuzi ya PUTIN nawala Sipingani Nayo

Demokrasia Imekua Inapoteza Maana Yake Katika Baadhi Yamaeneo Naimekua Ikitumika Vibaya Pia

Warusi Wakihisi Jamaa Anastahili Kuwaongoza Kama Anavyotaka wacha awaongoze tu Hakuna Namna

Demokrasia Yenyewe Haieleweki Nayo nahapa ndipo utakapo uona unafiq wa Wazungu

Maana Kwahuyu Mwamba Hata Tamko Hawatatoa Wala Kusikia Wanaenda Kuilinda Demokrasia Kama LIBYA Ama Hutasikia Wakimuekea Vikwazo Kama Anataka Kujimilikisha RUSSIA

Wazungu Wanafiq Mnoooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rusia asimpangie ila wewe black akupangie anavyotaka? Ndio maana akawaita shimo la choo. Hii yote ni kutokana na kutokujielewa kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Msijifiche kwenye chaka la rasilimali,huo ni wendawazimu!Hebu baneni rasilimali halafu tendeni haki kwa raia wenu muone watawasumbua kwa lipi!Ajabu ni kwamba wanayoyatilia mkazo ni kwa manufaa ya wananchi wenyewe ndio maana wanapata support ya ndani!Fanya hayo yote halafu wape watu uhuru wao wa kikatiba,kwani hilo nalo gumu?Wanasiasa wanapigwa risasi hadharani,mnakatisha kulipia matibabu,mnamfukuza ubunge lakini pia hamchunguzi waliomtendea huo unyama,mnahamasishana wapinzani fulani wanapaswa kupigwa au kuuwawa na wala hamkamatwi kwa uchochezi,mnanyima wapinzani kufanya siasa,mnawasweka ndani kila siku,wakisoaji wanakiona cha moto halafu mnataka msiingiliwe?Mimi naunga mkono kabisaa,tendeni haki maana haki ni zao la amani na umoja!
 

Msijifiche kwenye chaka la rasilimali,huo ni wendawazimu!Hebu baneni rasilimali halafu tendeni haki kwa raia wenu muone watawasumbua kwa lipi!Ajabu ni kwamba wanayoyatilia mkazo ni kwa manufaa ya wananchi wenyewe ndio maana wanapata support ya ndani!Fanya hayo yote halafu wape watu uhuru wao wa kikatiba,kwani hilo nalo gumu?Wanasiasa wanapigwa risasi hadharani,mnakatisha kulipia matibabu,mnamfukuza ubunge lakini pia hamchunguzi waliomtendea huo unyama,mnahamasishana wapinzani fulani wanapaswa kupigwa au kuuwawa na wala hamkamatwi kwa uchochezi,mnanyima wapinzani kufanya siasa,mnawasweka ndani kila siku,wakisoaji wanakiona cha moto halafu mnataka msiingiliwe?Mimi naunga mkono kabisaa,tendeni haki maana haki ni zao la amani na umoja!
 
Vladimir Putin ndiye aliyemuwezesha Donald Trump kumshinda Bi Hillary Clinton baada ya kufanya udukuzi kwenye mufumo ya kompyuta ya USA hapo 2016. Putin anaanzaje kumuambia unachotala amuambie?
 
Kwa Russia mi naona sio mbaya ila kitu kimoja amejisahau ni kutegemea sana mafuta wakati watalaam wameanza kutafito vyanzo vingine kuendeshea magari ja mitambo. Yeye ndio kwanza anaendelea kutandanza mabomba ya mafuta mpaka Germany China Turkey.

Miaka ijayo wataalam wakiachana na mafuta watabako kuuza silaha na batlila na vodka tu.
 
Madaraka ya kulevya !!
Putin pia ameweka kipengele kwenye katiba kinachoweka wazi kwamba kuoana ni lazima kuwe kwa jinsia mbili tofauti...that is marriage is a heterosexual union....yaani kwa maana halisi hakuna kuoana mwananamke na mwanamke...pia hakuna kuoana mwanamume na mwanamume...jamani huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...jamani Marekani mko wapi...wapigeni marufuku Putin na wenzake wasiingie Marekani....tehtehteh.
.hahahaha...fanyeni Kama mlivyofanya kwa dogo makonda....hahaha....jamani Marekani tusaidieni kwa hili...tehteh
 
Nchi hiyo aliiteka tangu 2000-2008
Kila sekta kafanya kama anavyofanya now magufuli
Kura ndiyo itaamua kweli alikuwa rais wa wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi, China, Rwanda, Uganda zitakuwa big references za nyoka wa kijani at around 2023-2024, or even earlier than that! It's a matter of time
 
Putin pia ameweka kipengele kwenye katiba kinachoweka wazi kwamba kuoana ni lazima kuwe kwa jinsia mbili tofauti...that is marriage is a heterosexual union
Kwani Kuna tatizo akifanya hivyo? Kwani siku zote kuoana kuna kuwa na jinsia ngapi?

mwanamume...jamani huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...jamani Marekani mko wapi...wapigeni marufuku Putin na wenzake wasiingie Marekani...
Nani alikuambia ni ukiukwaji wa haki za binadamu?
Unataka wapigwe marufuku kwenda US,wewe kama nani?

hahahaha...fanyeni Kama mlivyofanya kwa dogo makonda....hahaha....jamani Marekani tusaidieni kwa hili...tehteh
Huyu unayemuita dogo anavuna alichopanda naona unakazana kweli kumtetea.
 
Ona hili yai viza nalo!

Unamjua Putin wewe? Unafikiri ungekuwa kwa Putin ungeandika uharo humu alafu unaranda randa mitaani huku unaendelea kushiba makande kama huku?

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni pumbavu.

Kwani ben saanane yuko wapi?

Navalini Alwkse yupo russia na anamtukana putin daily.
Hujui kitu
 
Kuna kitu watu hawaelewi kabisa, kwa siasa za Urusi.
Russia inamhitaji sana Putin kuliko Putin anavyoihitaji Russia.

Russiaina resoursen nyingi sana na ina maadui wakubwa ambao ni ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ. Na ulaya pia.
Kwa utaalamu kuna baadhi ya vitu hasa space Usa lazima ashirikiane na Ru.

Na ru ina mafia wengi sana na warusi wapo makini sana wanataka mtu mwenye msimamo ambaye anaweza kulinda

-kazi zao dhidi ya wageni.
-Ambaye atalinda mipaka yao
-rasilimali zao ambazo ni nyingi kama gesi
-utaalamu wao na utamaduni wao.
Na hakuna mtu anayeogopa vita kama Mrusi.

Ukiongea na warusi wenyewe hakuna familia ambayo haijui athari za vita.

Mwalimu wangu alikuwa na miaka 84. Ila alivyokuwa anahadithia vita ya dunia kilichotokea kule kaliningradi hadi machozi yakamtoka.

Putin wanampenda sana japo ana mkono wa chuma, kwa sababu tu ina watu wakorofi sana na wenye pesa na wengi wao wamekimbilia uk na us na Europe.

Kwa hio ukiwachekea wanakuua ndio maana Putina anaonekana mkali na ana misimamo.

Wanaogopa wana nchi yao isije ikadondokea kwa mamluki kwa sababu Marekani inajaribu kila leo kupandikiza vijana wake il ru. Wapo makini sana.

Kwa nini Putin haweza kufanana na Magufuli.

- Elimu ya Urusi inawafaidisha sana warusi na hakuna mrusi ambaye atashindwa kusoma.
- anawajali sana wazee na yupo karibu nao sana na kuna muda anawatembelea majumbani kabisa
- ana kipindi kwenye tv anapokea maswali na kuyajibu kutoka kila kona ya nchi.
- anatembelea kila sehemu na anasikiliza sana watu wa chini.

- hana double standard kama Magu. Yupo straight na ukizingua anakuzingua kweli ili mradi maslahi ya wananchi wake yasikilizwe na yatekelezwe.

- hana maigizo.
Mtu kama magu angekuwa hana maigizo na misimamo ya kishamba angekuwa bonge la rais Africa nzima.

Ila ujinga wa magu anaongea hiki ila anachokifanya ni kingine.
Tofauti na Putin anachokiongea ndio anachokisimamia.

Asanteni kw kunisikiliza nakaribisha maswali
 
Absolutely....Russia inamuhitaji sana Putin, kuliko Putin anavyoihitaji Russia...bila misimamo yake dhabiti na ku-walk the talk kama anayoionyesha, U.S angenyanyasa sana dunia....

Tazama Crimea.

Kuna kipindi cha winter alimwambia Ukraine lipa deni la gesi hutaki nazima, jamaa akazima supply...

Russians ndiyo wanatoa BEST scientists wa AEROSPACE..U.S hana ujanja, anawahitaji sana katika International Space Centre..

Umetoa nondo za kali sana..big up sana!

Everyday is Saturday...................... ๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ