FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Ukraine inaonekana kama underdog katika hili. Inapigana 'defensive war' na wala haihitaji kuzungumza kila kitu. Hata wizara yao ya ulinzi imetoa agizo kwa raia kutoweka mitandaoni picha zinazoonesha mienendo ya majeshi yao.Yaani Ukraine yenyewe ipo kama haipo, vurugu zinaendelea juu yake lakini wenyewe na viongozi wao wala hawajitisiki kusema chochote , imezubaa kama raia wa Tanzania.
Huyu fala ana maneno machafu hatari[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] wawatishe nchi yenu sio Russia
[emoji635] Dmitry Medvedev commenting on halting Nord Stream 2: "we welcome the new world where Europeans will pay €2000 for gas." https://t.co/52bwCj5U3C
China wanafuatilia kwa makini na suala la usalama wao linalingana na kisiwa cha Taiwan.kitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...
hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..
amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
Achana na propaganda za nchi za magharibi.Yale yale ya Hitler.Putin atatumbukiza dunia kwenye mfarakano wa kutisha . Putin is Hitler reincanated.
Mkuu, jaribu sana kutoingiza ushabiki kwenye masuala yenye kuchangamsha akili kama haya.Exactly tatizo Russia has nothing to offer in economy ndo changamoto kubwa aliyokua nayo
Putin ni moja wa kiongozi wa ajabu sana yaan Russia ni kubwa sana aachen petty issues, hakuna muwekezaji atakae wekeza Crimea au donbass sababu kumushawekewa vikwazo baada ya mda uchumi utacollapse anachofanya Putin ni ujinga
Putin apambane gdp ikue ndo njia rais ya yeye kuwa na ushawishi
Unaishi urusi au umeangalia kwa glogloo.
Urusi mkuu vyuma vinakaza , Putin ni Jiwe kafufuka UrusiMkuu, jaribu sana kutoingiza ushabiki kwenye masuala yenye kuchangamsha akili kama haya.
Hivi, waifahamu GDP ya Russia kwa sasa imesimama vipi?
Marekani na washirika wake alikuwa wanabwaka kila siku mara oooh watampa kipigo cha mbwa koko Putin akivaamia Ukraine sasa wameufyata.
Toka Dume la Mbegu litoe tamko na kuingia kazini bado wanatafakari cha kufanya.
Ni dhahiri walikuwa wanapima upepo. Sasa hivi hakuna taifa linaloitwa Ukraine kwasababu limegawanyika tayari, kitendo cha Putin kuingia kule bila hata upinzani kinaonyesha ushindi mkubwa sana.
Rais kigaragosi wa Magharibi kulihutubia taifa kwa kulilia msaada ni ushahidi kwamba tayari amesoma alama za nyakati na kugundua wamemuuza.
Ni masaa mangapi toka Putin afanye maamuzi? Marekani na washirika wake eti wanaitisha kikao cha dharura cha Baraza la Usalama ambapo mwenyekiti wake ni Urusi? Hahahahahahahaah
Wanaishia kulaani na kupinga ila hawana jeuri ya kufanya lolote. Walitarajia Mchina atamkana Putin ila ndo hivyo katika tamko la Balozi wa Uchina kwenye Baraza la Usalama, hajaonyesha kuchukua msimamo mkali dhidi ya hatua ya Putin. Tayari Hiyo ni ishara kwamba wanamuunga mkono.
Marekani hana jeuri ya kumpiga Putin. Wao wataumia zaidi ya Putin. Tayari Russia ina access ya Marekani kupitia Cuba, akileta nyoko zake Putin atamnyoosha huko huko.
Ukraine ni lost territory na Russia wataichukua ikiwa wataingia Kyiv kupitia ardhini, majini na hewani -land sea and air invasion.Ukraine ethnicity hawataki kuwa upande wa Russia sababu hawaoni faida yake,inekuwa wanataka kuwa upande wa Russia kama watu humu wanavyotaka kutuaminisha,ile Kyiv ingeshachafuka siku nyingi,Russia wanajua weak point ya Ukraine ni ule upande wa East penye Russian ethnicity wengi na ndio wanaoi support Urusi,Siku Russia akirogwa akaivamia Kyiv ndio vita pale itakuwa mbaya sana maana hadi sasa kila raia wa Ukraine amepewa bunduki na kuwa trained kuilinda nchi yao,hiyo vita itakuwa mbaya sana na watu watakufa wengi mno kitu ambacho hata Putin mwenyewe nina uhakika hatotaka kitokee maana hata raia wake wengi hawaungi mkono kuivamia kijeshi Ukraine...
Ukraine kama nchi na raia wake wanataka kuwa upande wa magharibi hao wengine wanaojitenga ni ethnicity inawasumbua to nothing else...
Umesahau Na ZanzibarKwaiyo yaliyofanywa Libya, Iraq, Syria na yanayoendelea Yemen ni sawa sio?
Je kama Putin amesaini mkataba wa kuyatambua hayo majimbo, Ukraine bado inasubiri nini kuwa mwanachama wa NATO au NATO wanasubiri nini kutompa uanachama Ukraine? , hebu wataalamu wa geopolitics mnidadavulie hapa.
Kuna masuala mengi Ukraine inabidi iyapitie ili iweze kuingizwa NATO mojawapo ni vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma.Je kama Putin amesaini mkataba wa kuyatambua hayo majimbo, Ukraine bado inasubiri nini kuwa mwanachama wa NATO au NATO wanasubiri nini kutompa uanachama Ukraine? , hebu wataalamu wa geopolitics mnidadavulie hapa.
Mkuu Putin ataangushwa na warusi wenyewe. West hawana haraka
Uchumi wa Russia kwa mujibu wa WIKIPEDIA.Urusi mkuu vyuma vinakaza , Putin ni Jiwe kafufuka Urusi
Hongera Bilionea kwa kufuatilia TV station ya maana.Naona hapa Bloomberg Chancelor wa ujerumani ameamuru mradi wa bomba la gas Nord Stream 2 uwe suspended FRANC THE GREAT
Naona hapa Bloomberg Chancelor wa ujerumani ameamuru mradi wa bomba la gas Nord Stream 2 uwe suspended FRANC THE GREAT
Kuupata uanachama wa NATO huwa ni mchakato mrefu. Kwanza kuna vigezo kadhaa ambavyo lazima nchi husika iwe imekidhi vigezo hivyo. Pia, lazima kuwe na makubaliano ya pamoja (consensus) ya wanachama wote waliopo ndani ya jumuiya hiyo.Je kama Putin amesaini mkataba wa kuyatambua hayo majimbo, Ukraine bado inasubiri nini kuwa mwanachama wa NATO au NATO wanasubiri nini kutompa uanachama Ukraine? , hebu wataalamu wa geopolitics mnidadavulie hapa.
Ngoja asaini kuwa member NATO.Ok mkuu weye endelea kuamini hivyo.
Ila Russia muziki wake USA hauwezi.
Alifanya hivyo, Syria na sasa ni Ukraine.
USA atakaa akiangalia tu.
There were supposed to watch (closely) the rise of Vladmir Putin.