Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Putin: "We've made it clear that any further movement of NATO to the East is unacceptable. Is there anything unclear about this? Are we deploying missiles near the US border? No, we are not. It's the US that has come to our home with its missiles and is standing at our doorstep." https://t.co/BXTya1yGOZl
 
Not cancel, suspend. Wanahitaji gesi hao mzee.
Hii ultimatum Putin alishapewa mapema kabisa na Nato akiivamia ukranie Nord stream 2 is dead...Labda hufuatilii vitu...
We unafkiri Russia hataki kuuza gas ulaya?...Tena in long run Nato watatafuta alternative ya Nord Stream 1 halafu nayo waipige chini
 
Shida ni kwamba hawa watu wa mashariki wanajiona wao ndo kila kitu, hawataki hata kumsikiliza Putin, kumbuka wiki 2 au 3 nyuma wakati Urusi wanaomba Diplomasia itumike walijibu nn? Zaidi ndo wakaanza kutoa misaada ya vifaa vya kivita kw ukraine na kupeleka majeshi. Walimuona kama mwehu asiye na chochote na ha2ana muda wa kumsikiliza leo wanalalamika kwamba kavubja international law nk. Usimdharau mtu maishani siku zote
 
Urusi ata akisema hivi ujue kuna kitu kikubwa kinakuja [emoji23][emoji23][emoji16]

#BREAKING: #Russia says it will evacuate its diplomatic staff from #Ukraine - Reuters
 
Je kama Putin amesaini mkataba wa kuyatambua hayo majimbo, Ukraine bado inasubiri nini kuwa mwanachama wa NATO au NATO wanasubiri nini kutompa uanachama Ukraine? , hebu wataalamu wa geopolitics mnidadavulie hapa.
Hawezi na Ulaya haiwezi kuchukua hiyo risk kumoa uanachama Ukraine,hadi Dunia inaisha haitakuja kutokea Ukraine kujiunga na NATO na ikitokea basi hiyo itakuwa WWW3.
 
Nimeangalia TV ya Urusi. Ziko nyingi tv Urusi. Kama unafahamu kirusi , angalia au Kama Una mtu Urusi mpigie simu atakuambia maisha yalivyoanza kuwa magumu
Hahaaaa....ety kama Nina MTU urusi nimpigie simu. Umetisha sna
 
Mkuu waache waendelee kuamini uchumi wa Urusi ni mbovu mana anayewaaminisha ndo katuaminisha pia kuwa tuko uchumi wa kati[emoji28]
 
Hayo ni maneno tu Nchi gani ya Ulaya inaweza kukubali Ukraine kupewa uanachama.
 
And you think Russia doesn't need Europe Money?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akatengeneze vurugu kyiv basi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anazidiwa kutokana na vigezo walivyo viweka IMF&WB inayomilikiwa na USA au sio?.
USA yenyewe inacho ibeba sasa hivi ni matumizi ya dola -China amisha mpita muda au wewe upo Dunia ya ngapi ndugu.
Sasa ni vigezo gani vitumike yaani kwamba IMF/WB waseme china ni ya pili india brazili zipo top ten ila wanaposema Russia hayupo top ten kuna vigezo!! namba zinaongea mkuu hakuna longolongo !!! basi Russia ajiwekee vigezo vyake ajipe namba 1 ikimpendeza North Korea iwe ya pili kiuchumi kwa vigezo vya Kirusi🤣😂😅
 
Anazidiwa kutokana na vigezo walivyo viweka IMF&WB inayomilikiwa na USA au sio?.
USA yenyewe inacho ibeba sasa hivi ni matumizi ya dola -China amisha mpita muda au wewe upo Dunia ya ngapi ndugu.
Mbona Russia au china ndo hivyo hivyo anavyovitumia, tupe basi hizo takwimu za china kumpita marekani ana gdp ya sh ngapi nasubiria
 
Huyu andunje haachi vituko. Bei za petrol [emoji618]️ zitapanda kwa ufala wake.
 
Hawezi na Ulaya haiwezi kuchukua hiyo risk kumoa uanachama Ukraine,hadi Dunia inaisha haitakuja kutokea Ukraine kujiunga na NATO na ikitokea basi hiyo itakuwa WWW3.
Mkuu samahani sana naomba niulize tena, ikiwa tayari Urusi imeshatia nanga Ukraine, na inaonekana NATO na washirika wake hichi ndicho walichokuw wakihofia na sasa kimefanyika, ni kwa nini nchi za ulaya haziwezi kukubali?, kwamba endapo NATO itatangaza kwamba Ukraine ni mwanachama wake, Russia itatangaza vita rasmi na Ukraine? Ni nini sababu ya msingi haswa ya kuendelea kukwamisha Ukraine asiwe mwanachama, ingali haya yameshatokea.
 
Ni Putin yupi huyo aliyeongea maneno hayo kwa namna ya kudhihaki? Huyu wa jana, ama yule wa kabla ya jana?!

Hata hivyo, nimejibu kuendana na kile kilichoandikwa na mchangiaji niliyemjibu. Huyo niliyemjibu anasema kwamba, Clinton alipoulizwa kuhusu Urusi kujiunga NATO alikaa kimya, kitu ambacho ni tofauti na maelezo ya Putin ya miaka ya nyuma. Maelezo yake hayako consistent!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…