Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Majimbo wapi wakati ni nchi ziliungana 1922 na wakatengana rasmi 1991 kama sikosei.USSR is dead and burren.Haiwezi rudi tena
 
Pia hapo chini. angalau uta pata maelezo kamili
 

Nyoka mkubwa ni Huyu Muingereza , hapa kwetu ndiye aliwasaidia Nyerere kijeshi kuivamia Zanzibar.

Amewahamisha watu wote visiwa vya Chago vilivyo Mali ya Mauritius Na hataki kuvirudisha ,anasema atavirudisha ikiwa usalama wa UK hautoathirika.

Visiwa vya Falklands mpaka Leo viko chini yake kavichukua kutoka Argentina.
Iraq, Palestina, Afghanistan kote alikuwepo
 
Russia soon atakuwa kama Iran,ngoja akutane na Rungu la US.

Yaani nimecheka Sana,Nchi imejaa umaskini ila jeshi imara sasa wajiandae

 
Kufikiria kuirudisha USSR karne hii ni wishful thinking!
 
Putin anatumia mbinu zile zile za mmarekani kuvamia mashariki ya Kati kwa kisingizio Cha kutunza amani[emoji2]
 
Oyaaaa Belarus kashakiwasha huku

Belarus launches 4 ballistic missiles targeting western #Ukraine - KI
 
RUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
 
[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…