Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Russia doesn't need 190k troops on Ukraine's borders to recognize the independence of separatist republics. These troops are not even near the Donbas. This is the first step in what will likely be a large-scale Russian mil operation to impose regime change.[emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu mzee ana akili balaa
 
Nasikia cosovo Marekani iliwahi chezea kichapo cha hatari Sana sijui kma story hii ni kweli au laa mkuu
 
Anataka kuutumia huo "uhuru" wa hayo majimbo kama 'trigger' ama kisingizio cha kuivamia Ukraine?!

Kwamba, Urusi itapeleka majeshi yake katika maeneo hayo kama "msaada wa kibinadamu" dhidi ya majeshi ya Ukraine?!

OK!
Tulia dawa ikuingie, huo ni mwanzo tu, endeleeni na propapanda na urongo humu jf wahuni wanafanya kweli huko
 
Wasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.
Tuanze na amerika anaeuwa kila siku, leo Russia kurejesha majimbo yake ya asili imekua shida ??? Ivi mtaacha lini propaganda za kimagharibi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…