Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Mahaba yamemjaa ndo tatizoKajinga hakajielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba yamemjaa ndo tatizoKajinga hakajielewi
Hafai ?Wakati alishinda kidemokrasia. Unataka wawe na Rais anaefuata matakwa ya dictator Putin ?Raisi wa Ukraine ni kibaraka na hafai kuwa kiongozi wa hako kainchi.
Bora Putin kuliko hao mashoga wa UlayaPutin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
kama kufa ni wote basi naona ni poa tu kuliko wabaki wengine wale bata. HIVI NYIE HAMJACHOKA TU NA HII DUNIA ILIYOJAA UBATILIWasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.
Nasikia cosovo Marekani iliwahi chezea kichapo cha hatari Sana sijui kma story hii ni kweli au laa mkuuUnajua Ukraine, Croatia, Serbia, Montonegro na Kosovo hazikuwepo, hizi zote zilikua Yugoslavia wakati huo, wanapiga mpira wa hatari. Marekani akafanya uhuni wakajitenga tenga kila mmoja, unajua Kosovo ni nchi inayotambuliwa na Russia peke yake tu, dunia bado haiitambui kama nchi?
Weee unasemaje[emoji16]Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Marekani na NATO kila siku wanaipiga mbona tuko kimyaHawa jamaa wanaweza wakaamua kuja kupigania Africa, tusishangilie vitu tusivyovijua
[emoji1787]Acha ucuma
Kosovo si ulishaisikia mpaka inaimbwa, hao kama Vietnam[emoji28]Nasikia cosovo Marekani iliwahi chezea kichapo cha hatari Sana sijui kma story hii ni kweli au laa mkuu
Mkuu mbona unamtusi sana Putin kwani uko ardhi ya Kiev nnNi ssseeenge hili dingi. Linapenda ugomvi. Haliamini katika kutumia akili ku solve matatizo. Lina akili kama za akina Kiduku.
Qumamayo zake Putin
Tulia dawa ikuingie, huo ni mwanzo tu, endeleeni na propapanda na urongo humu jf wahuni wanafanya kweli hukoAnataka kuutumia huo "uhuru" wa hayo majimbo kama 'trigger' ama kisingizio cha kuivamia Ukraine?!
Kwamba, Urusi itapeleka majeshi yake katika maeneo hayo kama "msaada wa kibinadamu" dhidi ya majeshi ya Ukraine?!
OK!
Kipindi Magufuli anayefanya hayo katika ardhi ya nyumbani ,uliwahi sema haya maneno?Siwezi mpenda binadamu anaetaka vita kisa ego tu. Mtu anafunga watu wanaompinga. Wananchi wake wanaishi kwa taabu.
Tena sio mwamba TU,ni mwamba mwenye akili nyingi.Putin ni mwamba.
Tuanze na amerika anaeuwa kila siku, leo Russia kurejesha majimbo yake ya asili imekua shida ??? Ivi mtaacha lini propaganda za kimagharibi??Wasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.